Fridge la mtumba v\s la dukani

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,557
2,626
Wakuu hivi yale mafridge ya mtumba tunayouziwa pale Magomeni traventina na yale ya dukani Kariakoo yapi bora hata umeme ukikatika na yapi yanadumu kwa uimara.
1622633525654.png

Kwa Ushauri nunua Friji Mpya tena zenye Invetor hizi kwa mwaka mmoja zinatumia umeme wa kuanzia 180,000 mpaka laki tatu tu. na nyingi zimeandikwa units za umeme inazokula kwa mwaka ni kiasi gani na pia nyingi zinahifadhi ubaridi hadi masaa 8 mfano Samsung.

Mitumba mingi ni ya aina ya zamani ambapo Compresor zake zinabugia umeme mwingi sana,pia nyingi pipe zake zimesha choka maana ni za zaidi ya miaka 15 na zaidi.so tegemea kuharibika mara kwa mara.
 
Ukijaaliwa uwezo nunua freezer hata na friji iliyokua mpya, zinadumu zaidi. Na pia kwenye ulaji wa umeme freezer na fridge new designs ndio zenye ulaji mzuri wa umeme yaani energy saving.
Freezer kwa matumizi ya home Dah sijawahi kuona
 
Kwa Ushauri nunua Friji Mpya tena zenye Invetor hizi kwa mwaka mmoja zinatumia umeme wa kuanzia 180,000 mpaka laki tatu tu. na nyingi zimeandikwa units za umeme inazokula kwa mwaka ni kiasi gani na pia nyingi zinahifadhi ubaridi hadi masaa 8 mfano Samsung.
mitumba mingi ni ya aina ya zamani ambapo Compresor zake zinabugia umeme mwingi sana,pia nyingi pipe zake zimesha choka maana ni za zaidi ya miaka 15 na zaidi.so tegemea kuharibika mara kwa mara.
Hivi mtumba unahifadhi ubaridi nao?
 
Back
Top Bottom