Biashara ya mihogo kutoka shamba

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,562
2,628
Wakuu, habari za mchana. Natumaini wazima.

Hivi vipi kuhusu hii Biashara ya mihogo kwa hapa Dar, nikichukua shamba maana naona wakina mama wanaipenda kununua kwa ajili ya kukaanga.

Naomba dondoo zake nipo kitunda DSM, vipi usafiri na gharama za kusafiriaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom