Je, upandikizaji wa vijiti unachochea mwanamke kutokuwa na hamu ya kufanya mapenzi?

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
2,965
2,000
Habari wakuu,

Hivi hivi vipandikizi vya uzazi vijiti eti vinachangia mwanamke asisikie hamu ya kujamiiana, maana nina mtoto ana mwaka mmoja ila wife kaweka kijiti cha miaka 3.

Sasa wakati mwingine nilitaka kusex naye anasema kachoka,mara nyingi ananijibu hivyo nimemwambia akatoe kijiti anasema hataki mtoto bado mdogo.
 

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
13,310
2,000
Mambo madogo madogo kama haya waweza pia kuzama hata google kisha ukapata majibu.

Endelea kuongea naye kwa upendo atakupa tu.
 
Mar 31, 2020
47
125
Kam kwel bas ni Asilimia ndogo san,ila nadhan pia kuna vtu utakuw huviweki sawa kisawasawa sababu kam anathamin genye zako na anatambua kuw unaeza ibuka uwepo wa matokeo ya ubaniaji wake bs atakutosheleza hata kama yeye hana uhitaji.
 

Igombe fisherman

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
1,104
2,000
Ila situliruhusuwa kuoa mpaka wanne? Kwani we unakwama wapi. Mungu alilijua hill ndo maana akawaruhusu waislam kuoa wengi. U
 

chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
402
1,000
Habari wakuu,

Hivi hivi vipandikizi vya uzazi vijiti eti vinachangia mwanamke asisikie hamu ya kujamiiana, maana nina mtoto ana mwaka mmoja ila wife kaweka kijiti cha miaka 3.

Sasa wakati mwingine nilitaka kusex naye anasema kachoka,mara nyingi ananijibu hivyo nimemwambia akatoe kijiti anasema hataki mtoto bado mdogo
kwa kawaida, ukitaka tunda mwanamke akawa haonyeshi interest, ujue huwa unaboa kwenye tendo. mwanamke uliyemsugua vya kutosha na yeye akasema kweli leo nimenyang'anywa genye zote, amejojoa vya kutosha, nakuambia hata akiwa anaumwa utamwona tu anasogeza kalio.

Ni kweli kuna mazingira huwa yanaondoa hamu, lakini hata hamu ikiondoka hawa viumbe wakiwa wanakumbuka kichwani kile uliwafanyia previously, hamu itakuja tu, na uchovu haitakuwa sababu.

Ulishawahi kupiga mechi na mwanamke akawa tayari kukupa hata mshahara wake ila tu usimwache, au yuko tayari hata kama anashea na mwanamke mwenzie ila yeye pia awe anapata?
 

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
2,965
2,000
kwa kawaida, ukitaka tunda mwanamke akawa haonyeshi interest, ujue huwa unaboa kwenye tendo. mwanamke uliyemsugua vya kutosha na yeye akasema kweli leo nimenyang'anywa genye zote, amejojoa vya kutosha, nakuambia hata akiwa anaumwa utamwona tu anasogeza kalio...
Sasa huyu baada ya kuweka kijiti shida ndio inaanza
 

simon2016

Senior Member
Oct 19, 2020
170
500
Kwanza vijiti vina badili hali ya mwili hata hamu zinapungua, halafu kama akianza kubleed anaweza akableed mwezi mzima au zaidi na muda mwingine huwa wanatoka majii mengiii mpaka unaogopa

Hivi vijiti sio vizuri vinaharibu saikolojia na hisia za wenzetu.
 

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
2,965
2,000
Kwanza vijiti vina badili hali ya mwili hata hamu zinapungua, halafu kama akianza kubleed anaweza akableed mwezi mzima au zaidi na muda mwingine huwa wanatoka majii mengiii mpaka unaogopa

Hivi vijiti sio vizuri vinaharibu saikolojia na hisia za wenzetu.
Maji haya ya squirting au?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom