Matatizo ya miguu baada ya kujifungua

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,557
2,626
Hivi wadau kuna wajawazito wakishajifungua huwa miguu inakosa nguvu chanzo nini naona sista wangu anashindwa kutembea anatumia mkongojo.
 
Stage pasua kichwa

1.Ujauzito kuanzia mwezi wa 3
2.Ukijifungua miezi mi 3 ya mwanzo

Hizo stage ni pasua kichwa,yani kama ni mwanaume unatakiwa uwe na namba za madaktari wote wa muhimu na smartphone yako muda wote iwe na bando la kufungua thread JF kuuliza jambo au ku google changes utazoziona kwa mwenza wako.

After hivi vipindi kupita the rest ni Furaha na Kuringa na katoto kako...
 
Habari,

Pole kwa kuuguliwa.

Mambo matatu yaweza kuwa ni sababu:
1: Mgandamizo kwenye nyonga, hii inategemea na ukubwa wa nyonga yake, ukubwa wa mtoto au jinsi mtoto alivyomuwa amekaa tumboni.

2: Usahii au kutokuwa sahii kwa mapito aliyopitia wakati wa kujifungua.

3: Mapokeo ya mwili dhidi ya vichocheo/hormones wakati wa kulainisha viungo. Hiu hutokea wakati wa ujauzito.

4: Upungufu wa madini, vitamins na valcium. Hii pia huwapata sana wamama baada ya kujufungua.

Fika naye kituo cha afya, daktari apate historia nzuri ya hayo hapo juu. Ataweza kung'amua tatizo liko wapi baada ya pia kumfanyia physical examination na kuona kiwango cha tatizo na linaanzia wapi na kuishia wapi.
 
Shukrani mkuu
 
Stage pasua kichwa

1.Ujauzito kuanzia mwezi wa 3
2.Ukijifungua miezi mi 3 ya mwanzo

Hizo stage ni pasua kichwa,yani kama ni mwanaume unatakiwa uwe na namba za madaktari wote wa muhimu na smartphone yako muda wote iwe na bando la kufungua thread JF kuuliza jambo au ku google changes utazoziona kwa mwenza wako.

After hivi vipindi kupita the rest ni Furaha na Kuringa na katoto kako...
Kweli boss
 
Back
Top Bottom