kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
Hivi karibuni nilibahatika kupata mchumba mwenye asili ya Pemba sasa kilichonileta wadau huyu mwanamke tulikubaliana vizuri tuoane akawa anataka apajue na kwangu baada ya kumleta akashangaa nimepanga vyumba viwili chunba na sebule vya kodi elfu 70 huyu mwanamke kanikataa kasema hawezi kuishi na mwanaume mwenye vyumba viwili anataka mwenye nyumba yake hanionei hata huruma kwa umri huu wa miaka 30 na yeye 25 anashindwaje tuishi wote huku tukijipanga isitoshe yy jobless na Mimi mfanyabiashara dah