Nimeoa mke bikra ndoa imevunjika miezi sita

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,562
2,628
Wakuu Habari zenu kuna jamaa yangu mtu wa visiwani muajiriwa sekta binafsi sasa kutokana na umri kusogea akaws anahitaji wife ikabidi akaoe kwao visiwani zenji akajipatia mke bikra wakaa kwenye uchumba miezi 6 bila kukutana kimwili wakaamua kufunga ndoa ya kiislamu baada ya ndoa wakaanza maisha kwenye nyumba ya wazazi wa jamaa maana ilikuwa kubwa wakampa chumba jamaa sasa tatizo linakuja binti hataki kushiriki kingono na jamaa baadaa ya kutolewa bikra anadai hana hamu naye,kampa wiki mbili tena kwa mbinde kuna Siku jamaa alishika kisu anamtishia binti ampe mpaka akafanikiwa kumuingilia,kuanzia hapo jamaa kila akijarobu kuomba gemu kwa binti hataki binti anakuwa mwekundu hataki kuguswa na jamaa,ikabidi jamaa ampige talaka binti japo jamaa kamuoa kwa Mali ya million moja na wazazi wa jamaa wakawatenganisha vyumba hawataki binti arudi kwao maana wameoana mwezi wa sita mwaka Jana,je binti ana tatizo gani mpaka anakataa kushiriki tendo la ndoa kiumri ana miaka 18 na jamaa 26
 
Inaonekana jamaa yako anakasoro labda. Mchafu, muongeaji sana au anatabia flani flani ambazo zimemfanya binti asiwe na mzuka na jamaa/wewe.

Kuokoa hiyo ndoa kwanza hama nyumbani kwa wazazi wako, pili muandalie mazingira ambayo ni romantic sana sio kuforce tu mapenzi. Inaweza kuwa binti alivyotegemea kakuta tofauti, so inabidi atengenezewe mazingira ya kukubaliana na hali.

Nimeshauri hivyo kwasababu ni ndoa. Ingekuwa sio ndoa ningekuambia achanane tu. But ndoa na iheshimiwe na watu wote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kinywanyuku, Kuna sababu nyingi sana ila kwa kukisia tu tuangalie chache..

Wanaume wengi tunadhani kutoa bikira kwa siku moja tena ile pppaaap kwa nguvu ndo ujanja,ule ni ujinga tu.
Ksms smbavyo tendo la ndoa linataka masndalizi basi pia na kutoa bikira kunataka maandalizi ya taratibu yenyr kuchukua siku kadhaa.

Unspomuandaa bikira kwa siku moja na ukamuingilia basi jua ya kuwa umemfananisha na asiyekuwa bikira.hilo ni tatizo

BIKIRA HUTOLEWA TARATIBU...

Huwenda jamaa alitumia miguvu sana kutoa bikira ya dada yetu mpaka dada anaogopa kuanzishiwa tena gemu akikumbuka maumivu.

Alafu huwenda jamaa anamtreat bikira kama mzoefu yani ile jamaa huwenda anataka huyo dada awe kama mwajuma ndala ndefu ambaye kwenye gemu ana uzoefu wake.

Huwenda jamaa ameona bikira jambo la kawaida mno kiasi kwamba mpaka akadhihirisha kws mkewe kuwa inamkera hiyo bikira proccess za kuitoa na hapo dada anaweza kumchukia mumewe.

Jamaa habembelezi huyo hana mswalie mtume,ikiwa mwanamke ambaye sio bikira anahitaji kubembelezwa na kufanyiwa upole vipi kwa mwanamke asie bikira ?


Alafu dada umri wake mdogo kwa zsma zetu,ingrkuea zama zile tungeona ni mkubwa lakini kwa umri wake na zama zetu basi ni bado mdogo kiakili na kifikra so mi nadhani huwenda huyo dada naye ana utoto tu hapo.

Kuna jambo wanakerana hao,mwanaume anashindwa kumps udhuru kuwa huyo dada ni bikira na ni mdogo na huwenda ana muona kama ni mkubwa kumbe sivyoo.

Mwanaume mzima ati unamshikia kisu mtoto wa miaka 18 tena bikira ina maana umekosa maneno ya kubembeleza na kumnyenga mkeo..?

Wanaume silaha ya ndoa ni maneno na ujanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mambo hayajamvutia kwa jamaa, kwanza jamaa ako ni moja kwa moja hana swaga kwa mkewe, hayuko romantic, yaan kukutana na mkewe anashika kisu! Yaan anabaka!
 
Yaani mke wako unamshikia kisu! Tena mtoto mwenyewe bikra wa miaka 18!
Hapo angemshambulia kwa maneno laini na vitendo. Unajivika Ujoti kwa muda.
Na akifanikiwa kuvua unapitisha ulimi kwenye matundu kama matatu hivi. Siku nyingine atataka mwenyewe.
 
Kuna watu naturally tu sio wapenzi wa ngono.. Yaani ashiki zao huja mara moja moja sana... Lakini siku akitaka... Mwanangu jipange atataka kweli
Kingine ni haya mazoea ya kulinda bikira kwa kuingiliwa kinyume... Sasa unapokuja kubikiri bila kujua mwenza wako alishaharibika kitambo na hayuko tayari kukwambia ukweli, shida huanzia hapo...

Cha mwisho ni kile tunaita first sex experience... Binti bikira anapaswa kupata maandalizi yote muhimu kabla ya kumuingilia.. Kwakuwa hii ni mara yake ya kwanza lazima atakuwa muoga sana... Hivyo ukikosea hapa.. Tambua umeharibu pakubwa mno... Hatakaa akuwe na hamu na wewe tena kinywanyuku,

Jr
 
Back
Top Bottom