Mliowahi kudate na wanawake athlete

Mliowahi kudate na wanawake athlete

Mkuu hapo usiachie komaa nae huwa waelewa na wapo vyema sana.. Bora we umepata wengine huku tumepatikana!.. nilienae kabobea kwenye uchawi nimeshazoea fisi ni kama mbuzi tu..😂
Hahahahaha we jamaa fala sana😂😂😂
 
Mule sio mashindan ya mbio boss. Ishu sio pumzi maan hamshindan kwenda route au chenga. Jarib kuwa fit kuwa active na mwili wennye energy
 
Wadau nimepata kamke Kanapenda kucheza mpira yupo vizuri kwenye soka unaweza ukadhani mwanaume japo uzuri wake hujapotea Bado anaonekana ana umbo la kike niliwahi kusikia wadada athlete wana pumzi wanakupelekesha hebu wazoefu naombeni ushauri.
habari za asuburi kwanza.
 
Bounsa wangu mie,huwa namwomba Mungu usiku usifike
34216098.jpg
 
Wadau nimepata kamke Kanapenda kucheza mpira yupo vizuri kwenye soka unaweza ukadhani mwanaume japo uzuri wake hujapotea Bado anaonekana ana umbo la kike niliwahi kusikia wadada athlete wana pumzi wanakupelekesha hebu wazoefu naombeni ushauri.
Mkuu...Wewe unadate athlete... Ndo utuambie je nikweli wanapumzi...

Maana Mimi hapa nipo najilazimisha kuruka kamba nipungue uzito
 
mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu......noted
 
Mkuu hapo usiachie komaa nae huwa waelewa na wapo vyema sana.. Bora we umepata wengine huku tumepatikana!.. nilienae kabobea kwenye uchawi nimeshazoea fisi ni kama mbuzi tu..[emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...atakuwa yule kibonge... Nahuko kwenye ugali anaokusongea ndo utashangaa TU unatangaza ndoa.
 
Back
Top Bottom