Kero za wageni

Kero za wageni

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,863
Reaction score
3,099
Wadau
Habari za asubuhi hivi kuna haka katabia sisi mabachelor wenye vyumba viwili na kitanda kimoja tukipata wageni mara nyingi wageni wanakuja na mashuka yao huwa hatujui kama wasafi au Lah mara unashangaa wamekuachia kunguni wakisepa Dah kichwa kinauma sana uanze kukabiliana nao
 
Kitu kidogo tu hicho babu, safisha geto maisha yaendelee, bila shaka nawe ulishawahi kuwa mgeni kwa watu kabla ya kuishi geto, tena mgeni wa kudumu bora huyo kaja na kusepa kaacha kunguni tu.
Ila wakiingia kwenye kitanda cha mbao nasikia hawatoki kirahisi
 
Nunua dawa puliza hadi kwenye kona za kitanda, wataisha....siku nyingine atakuja mgeni atakaa miezi 6 afu kila siku anachafua choo na maji yapo.
Pole mkubwa
Hii ya mbu au kuna dawa zake?
 
Hii ya mbu au kuna dawa zake?
Kuna dawa zake , wale wanatembeaga njiani na vipaza sauti dawa ya mende, panya kunguni kama unaishi uswazi utawaona, kama ni wa kishua nenda maduka ya madawa ya mifugo.

huyo mgeni ni kama kakuvuruga sana mzee baba pole, siku nyingine akitaka kuja mwambie upo safarini pole sana.
 
Wadau
Habari za asubuhi hivi kuna haka katabia sisi mabachelor wenye vyumba viwili na kitanda kimoja tukipata wageni mara nyingi wageni wanakuja na mashuka yao huwa hatujui kama wasafi au Lah mara unashangaa wamekuachia kunguni wakisepa Dah kichwa kinauma sana uanze kukabiliana nao

Kwahiyo bro kupangisha tu hako ka chumba na sebule tayari umeshaanza kutuona sisi wageni wako ni kero? Umesahau juzi juzi tu ulikua unalala sebleni kwa shemeji yako tena unatandikiwa godoro chini..? Sawa bana... hatutakuja tena kwako broo.....
 
Ha ha ha! Ila na wewe kwa nini umwachie kunguni!!? Nadhani ndicho kilichomkela
 
Kwahiyo bro kupangisha tu hako ka chumba na sebule tayari umeshaanza kutuona sisi wageni wako ni kero? Umesahau juzi juzi tu ulikua unalala sebleni kwa shemeji yako tena unatandikiwa godoro chini..? Sawa bana... hatutakuja tena kwako broo.....
Ha ha ha tatizo mnakuja na kunguni kuwaondoa kunguni kazi wakishataga
 
Kunguni kwani mi niliwabeba makusudi mkuu? Mimi kwanza kunguni wangu wala sio wakali mwenyewe nimeshawazoea hata hua sijui kama ninao
Dah umewazoea,ila mimi usiku wananisumbua sana mpka nahamia sebuleni nalala chini
 
Ngoja siku mgeni ajinyee kitandani ndo utajua hujui
... Alafu kunguni ni mboga bwashee, we kamata ukaange... Unaeza kusindikiza na ugali, viazi au ndizi
 
Back
Top Bottom