Mtaji wa Milion 3 biashara gani nifanye?

  • Tenga m1 nunua mbuz chotara iyo m2 weka akipa toa laki moja kaanga kuku pale banana.....soon unakuwa tajir
Achana na biashara za kibrazamen
😅😅 Nimecheka hapo eti kaanga kuku pale banana unamaanisha Akajipomgeze au?

Na kuhusu kufuga mbuzi hebu nipe elimu hiyo nifahamu na mimi huenda nikaanza hiyo biashara nimeipenda
  • Soko lake yaani wanaoatikana wapi na kwa hyo mil1 unapata wangapi na Soko la kuwauza wakikua?
  • Wanaweza kuzaliana vizuri
 
Nimecheka hapo eti kaanga kuku pale banana unamaanisha Akajipomgeze au?

Na kuhusu kufuga mbuzi hebu nipe elimu hiyo nifahamu na mimi huenda nikaanza hiyo biashara nimeipenda
  • Soko lake yaani wanaoatikana wapi na kwa hyo mil1 unapata wangapi na Soko la kuwauza wakikua?
  • Wanaweza kuzaliana vizuri
uweke jiko uuze kuku broiler laki inatosha unakaanga wengi sema umpate mtaalamu wa kukaanga
 
Back
Top Bottom