Mwanamke kukataa kukutumia picha zake Whatsap ni ishara gani?

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,562
2,628
Wadau imenitokea nipo katika mahusiano na mwanamke mmoja tuna miezi miwili na mipango kadhaa tatizo lake hataki kunitumia picha zake Whatsapp wala kupiga picha na mimi anadai hana muda wa kupiga picha sina hata picha yake ukimuomba mpige picha anakuwa mkali japo huduma zote natoa hata akisuka vizuri ukiomba umpige picha au akutumie picha yake hataki.
 
Bila shaka hata hujawahi kumla, we focus kwenye mzigo mkuu... Piga kabisaaaaa mpaka ifike hatua yeye anaomba umrekodi...

Ila kama na mzigo anakubania, basi waachie vijana wenye matumbo yaliyojikata wapige nae selfie.

Pole sana mkuu...

Nasisitiza mzigo kwanza, selfie baadae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom