Mchumba wangu anakataa nishike simu yake

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,563
2,628
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mausiano ya kimapenzi ila nahisi sasa hivi hanipendi, ila zamani alikuwa ananipenda sana. Kunitafuta ananitafuta ila hana stori nyingi kama zamani, hataki kuchat sana na hataki kuongea sana na mimi.

Na nilikuwa nakwenda sana kweke ila sasa hivi kaniambia nisiende kwake, anaona aibu majirani zake. Matumizi nampa na Kodi alikuwa analipa baba yake, ila kwa sasa kaanza kulipa kodi yeye mwenyewe ila nilimchangia kidogo, na nafanya nae kazi kampuni moja.

Kipindi cha nyuma alikuwa ananipenda sana na alikuwa ananihitaji muda wote niende kwake ila sasa hivi hataki kabisa.

Tumshauri mwamba.
 
Kuna Mwanamke nipo nae kwenye mausiano ya kimapenz ila nais anipendi asaiv ila zamani alikua ananipenda sana Zamani alikua ananipenda sana ila asaiv anipendi ata kidogo
Kunitafuta ananitafuta ila hana stor nyingi Kama zamani
Hataki kuchat Sana na hataki kuongea Sana na mimi

Na nilikua naenda Sana kweke ila asaiv kaniambia nisiende kwake anaona aibu majirani zake
Matumizi nampa na Kodi alikua analipa baba yake ila na asaiv kahanza kulipa yeye ila nilimchangia kidogo
Nafanya nae kazi kampuni moja
Na kipindi Cha nyuma alikua ananipenda sana na alikua ananiitaji mda wote niende kwake ila asaiv hataki kabisa
Tumsheuri mwamba
Soma takwimu za sensa na makazi ili msisumbuwe watu.

Kuna shortage kubwa ya wanaume kwa nini usumbuliwe na mwanamke mmoja?
 
Kuna Mwanamke nipo nae kwenye mausiano ya kimapenz ila nais anipendi asaiv ila zamani alikua ananipenda sana Zamani alikua ananipenda sana ila asaiv anipendi ata kidogo
Kunitafuta ananitafuta ila hana stor nyingi Kama zamani
Hataki kuchat Sana na hataki kuongea Sana na mimi

Na nilikua naenda Sana kweke ila asaiv kaniambia nisiende kwake anaona aibu majirani zake
Matumizi nampa na Kodi alikua analipa baba yake ila na asaiv kahanza kulipa yeye ila nilimchangia kidogo
Nafanya nae kazi kampuni moja
Na kipindi Cha nyuma alikua ananipenda sana na alikua ananiitaji mda wote niende kwake ila asaiv hataki kabisa
Tumsheuri mwamba
Wew ulifata simu au kipochi manyoyaa mkuu??
 
Nanukuu "ila zamani alikua ananipenda sana Zamani alikua ananipenda sana ila asaiv anipendi ata kidogo
Kunitafuta ananitafuta ila hana stor nyingi Kama zamani
Hataki kuchat Sana na""

HAPO UMEACHWA HATAKI UUMIE, ANAKUPA CHANCE YA WEWE KUJIONGEZA UMOVE ON. ILA HUTAKI KUELEWA SOMO.

ndugu mimi kama kijana nakushauri Tafuta mama nyingine haraka sana.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom