Search results

  1. geofreyngaga

    Tumepita lakini?

    Yanga watafika nusu fainali. Sawa na sisi tumepita lkn siwez kutabiri wqpi tutaishia sababuuuuuuuu....... Ah anyway naiombea Singida nayo ipite. Ww unadhan tutaishia wqpi, Morombo au mbele ya Morombo.
  2. geofreyngaga

    Thank you Tigo & Airtel

    Of all the people around me only tigo and airtel spent there valuable minutes to say a word about this special day that even Ocean Road hospital had, the hospital I ever known for the first time in my life, NEVER DARED call and ask me "geofrey where are you and how are you doing" Agriiiiiiiii...
  3. geofreyngaga

    Calculate average speed

    an aircraft takes one hour to fly from town A to town B at 500km/h. It returns via the same route at 250km/h. Calculate its average speed.
  4. geofreyngaga

    Utabiri wangu unaelekea kwenye utimilifu

    Jana nilimwambia mke wangu Yanga atashinda 3- 1 dhidi ya Al hilal sasa ni 1-1 na mchezo bado unaendelea. Japo mimi Simba lakini kwnye michezo ya kimataifa navaa uzalendo haijalishi nini!
  5. geofreyngaga

    Kwa kinachoendelea Somalia, Je imesahaulika?

    Kwa kile kinachoendelea Somalia sioni jitihada za wazi na makusudi za kuwasaidia awa wa-afrika wenzetu. Hata kama sababu ni maisha magumu yaliyo sababishwa na covidi, mafuta kupanda bei na vita vya Ukraine lkn kama binadamu Somalia sio wakuachwa wafe njaa. Nakubali misaada ipo lkn si kwa...
  6. geofreyngaga

    Nahitaji used gas oven

    Habari. Kwa yeyote anaeuza au anajua wapi naweza pata oven inayotumia gesi yenye uwezo wa kubeba mikate 90 ile tunayosema gram 500. Note: iwe used. Iwe Dar Pwani au Morogoro Call/Whatsapp 0652494919
  7. geofreyngaga

    INAUZWA Topcon ATG4 automatic level for surveying for sale TShs 450,000

    Topcon ipo na vifaa vyake vyote tayari kwa kutumika, ni used japo haijatumika sana kama inavyoonekana kwenye picha Specifications; overall length 192mm, effective diameter 30mm, magnification 26x24x field of view 1`30`resolving power 3.5'', minimum focus 0.5m, horizontal circle diameter 117mm...
  8. geofreyngaga

    Computer4Sale Laptop HP inauzwa TShs 300,000 Arusha

    Laptop HP processor intel core i5 2.5ghz ram 4gb HDD 500gb. Inafanya kazi vizuri. Note: Tatizo lake haikai na chaji hivyo betri sio nzuri Ipo Arusha Piga simu 0765390225 au 0652494919
  9. geofreyngaga

    Kapeti jipya la manyoya linauzwa

    Kapeti jipya la manyoya linauzwa = ukubwa futi 7 kwa 9 = rangi ya kijivu na nyeusi kwa mbali = lipo arusha mjini karibu na jengo la ngorongoro = bei TShs 85,000 = mawasiliano 0765 390 225 :)KARIBUNI:)
  10. geofreyngaga

    Nahitaji mashine ya kukandia ngano

    Habari wana nzengo. Nahitaji mashine used ya kukandia ngano (dough mixer) kilo 25, 3phase ISIWE kutoka China. Tuwasiliane hapa 0765390255. Karibuni
  11. geofreyngaga

    simbani simbani

    naomba tuonane kesho nikiwa nakunywa kili na supu yangu. gnite
  12. geofreyngaga

    House4Sale Nyumba inauzwa Arusha tshs 35 millioni

    1.nyumba ipo Arusha morombo dampo kwa kaburu 2.ukubwa wa kiwanja miguu 15kwa 20 3.umbali km5 kutoka lami hati kwenye nyumba 4.ina vyumba 3, kimojawapo ni masta 5.ina jiko, sebule, umeme maji yameshalipiwa auwasa 6.haina fence 7.Document: serikali za mtaa 8.bei 35m maongezi yapo piga/whatsapp...
  13. geofreyngaga

    Mtibwa vs Yanga

    Kuna kabwana mdogo nimekaambia Yanga ikishinda namnunulia bia moja na ikifungwa basi aninunulie hata fanta orange ntainywa hivyo hivyo, kalivyo kajeuri kasema "broo angu kama vipi tuweke bia 2 kwa 2" Sasa nasubiri 90mins nimnywe 2!!
  14. geofreyngaga

    Toyota premio new model for 9.5m

    cc1750, petrol, km58,000, silver,inadaiwa tra300,000 imepata dhoruba upande wa kulia shavu la mbele na nyuma kidogo namba DFB inataka 9.5m mazungumzo yapo. nashindwa ku upload nadhan net haiko poa njoo watsap kwa pic
  15. geofreyngaga

    du! mechi ya yanga na prison

    mimi napenda mpira wa miguu lkn leo nilikua na angalia mpira nikidhan ni wabunge wanacheza mechi ya kirafiki Dodoma, kutaamaki lahaula kumbe ni yanga na prison. Kwa kiwango hiki tuna safari ndefu. nasubiri matusi!!!!!
  16. geofreyngaga

    jiko kwenye pub linapangishwa 100,000

    Habari. jiko linalopakana na pub linapangishwa 100,000 kwa mwez. lipo kijitonyama kisiwani karibu na shule ya secondary salma kikwete, linavitu baadhi vichache vya kuongeza. mawasiliano 0652 494919
  17. geofreyngaga

    Whatsapp ina misbehave

    hello guys. kila nikitaka kuingia watsap inaniambia your phone date is inaccurate. adjust clock and try again. nimejaribu kufanya yote lkn bado ipo vile vile, naomben ushaur nifanye nn ili niweze kutumia watsapp? thanks
  18. geofreyngaga

    TV 32'' na Laptop vyote kwa 700,000/=

    Nauza TV 32" LED flat screen homebase na laptop acer hdd500gb, ram4, processor2 vyote kwa 700,000/= only. Sina simu/camera nzuri ya kupiga picha lkn vipo safi havina michubuko na vipo vina fanya kazi Mnakaribishwa kupitia 0652 494919
  19. geofreyngaga

    Fremu inapangishwa

    Habari. Fremu inapangishwa ipo kijitonyama kisiwani karibu na Salma Kikwete Secondary kodi ni 100,000/= kwa mwez inatakiwa ya miezi 6. Fremu ipo barabarani(lami) kabisa inafaha hata kwa jiko sababu pembeni yake kuna pub ambayo haina jiko, unaweza kupika/kukaanga chochote kama chips, supu...
  20. geofreyngaga

    Nahitaji viti na meza za plastiki

    Habari. Kama kuna mtu anauza viti(16) na meza(4) kubwa za plastic naomba tuwasiliane kwa 0652 494919
Back
Top Bottom