Whatsapp ina misbehave

Whatsapp ina misbehave

geofreyngaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
667
Reaction score
974
hello guys.
kila nikitaka kuingia watsap inaniambia your phone date is inaccurate. adjust clock and try again.
nimejaribu kufanya yote lkn bado ipo vile vile, naomben ushaur nifanye nn ili niweze kutumia watsapp? thanks
 
Tumia njia hizi;

1.Ingia setting>Date & Time>weka automatic ikishindikana hiyo,

2.futa file la whattsap then download halafu ujiunge upya

[HASHTAG]#Whttsap[/HASHTAG] huwa ina expire baada ya muda huenda miezi mitatu,miezi sita,miezi tisa au mwaka but sasahiv hazichukui muda mrefu sana kama zamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom