Fremu inapangishwa

Fremu inapangishwa

geofreyngaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
667
Reaction score
974
Habari.
Fremu inapangishwa ipo kijitonyama kisiwani karibu na Salma Kikwete Secondary kodi ni 100,000/= kwa mwez inatakiwa ya miezi 6. Fremu ipo barabarani(lami) kabisa inafaha hata kwa jiko sababu pembeni yake kuna pub ambayo haina jiko, unaweza kupika/kukaanga chochote kama chips, supu, chakula nk isipokua kitimoto. Kwenye fremu kuna meza 1 kubwa, kabati kubwa la aluminiamu, jiko la kuchomea mishkaki, na vitu vingine vidogo vidogo.
Kwa mawasiliano 0654 494919.
Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom