Mtibwa vs Yanga

geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
636
906
Kuna kabwana mdogo nimekaambia Yanga ikishinda namnunulia bia moja na ikifungwa basi aninunulie hata fanta orange ntainywa hivyo hivyo, kalivyo kajeuri kasema "broo angu kama vipi tuweke bia 2 kwa 2" Sasa nasubiri 90mins nimnywe 2!!
 
Yanga njoooni huku.....mmekuwa waoga hata kuanzisha Uzi..!! Minyeni kende jamaa asinywe bia..!
 
Hawawez kuja. Kwa vile haka kabwana mdogo kajanja janja sika amini nimekapiga pini kabisa kwa kuweka mzigo kaunta mapemaaa. Kakisepa mi najivuta kaunta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom