Search results

  1. chilumendo

    Nimeshauriwa na daktari kuanza kutumia dawa za kushusha pressure

    Habari wataalamu wa tiba katika forums hii. Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze kutumia dawa za kushusha. niombe kwenu wadau kama kuna yeyote hali hii ilishawahi mkuta na kutumia dawa...
  2. chilumendo

    Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi. Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
  3. chilumendo

    Wanasimba tuendelee na uungwana labda kuna siku jirani zetu watajifunza

    Habari wandungu zaidi wanasimba wenzangu. Kama mnakumbuka wanautopolo msimu uliopita wa ligi ya mabingwa walikuwa wananunua jezi ya mpinzani wa simba wakiongozwa na bosi tena zilikuwa zinauzwa kwenye maduka ya wachambuzi uchwara. Lakini msimu huu sijaona mchambuzi yeyote kuhamasisha wanasimba...
  4. chilumendo

    Msaada anayeweza kunisaidia nimesahau password

    Habari za muda huu wadau, Niombe msaada yeyote anayeweza kunisaidia namna ya kufahamu/kupata password (numeral) niliyoisahau. Kuna taarifa mhimu nimehifadhi humo hivyo nimeshindwa kufungua kutokana na kusahau password ambazo ni namba nne niombe wadau wataalamu wa IT mnisaidie nifanyeje kuweza...
  5. chilumendo

    Msikilize mzee Akilimali,huyu mzee anamaono ya mbali sana tumulinde atatusaidia sana sisi wanayanga.

    Nawe msikilize mzee,ustadh Akilimali utaamini ninachosema
  6. chilumendo

    Msaada tafadhali laptop ina tatizo kwenye keyboard

    Salaam wadau wangu wa nguvu. Naomba msaada kwa yeyote mwenye ujuzi na hili tatizo la laptop yangu. Nimenunua laptop kwa mtu aina ya FUJITSU nadhani ni kutoka japan tatizo lake ni pale ninapotype herufi u,i,o,h,j,k,n,m badala ya kutokea herufi zinajitokeza namba. Niombe msaada ni namna gani...
  7. chilumendo

    Wenye vipara 'team ualaza' tufike hapa tupeane mbinu za kuihandle hali yetu

    Mimi ni mhanga wa kuwa na ualaza hivyo nalazimika kunyoa kila baada ya wiki moja ili kiwalaza changu kisionekane. Tupeane ushauri namna ya kuhandle hali hiyo kwa wale wasiopenda kiuwalaza
  8. chilumendo

    Mungu alituumba tufanye mapenzi kwa kusudi la kuzaliana au kufurahishana?

    Wadau, Nimekuwa natatizwa muda mrefu sana juu ya suala la mapenzi kati ya binadamu na wanyama wengine. Kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua wanyama karibia wote katika niliowafanyia utafiti wanafanya mapenzi kipindi mwenza wake yuko kipindi cha joto yaani kipindi ambacho akifanya mapenzi...
  9. chilumendo

    Niliapa kutopima ukimwi maishani lakini nilipata nguvu ya kupima baada ya kuambiwa yafuatayo.....

    Wadau nawasalimu ktk jina la bwana. Kwa wadau wanaoogopa kupima ukimwi naomba niwashirikishe jambo lililonifanya nikapima ukimwi bila stress zozote kinyume nanilivyokuwa naogopa hapo awali. Hofu ya kutopima ukimwi ilianza pale nilipogundua nimetembea na baadhi ya wasichana ambao wanahisiwa na...
  10. chilumendo

    Mheshimiwa Rais tafadhari fukuza hao wanaokuandalia majina ya wateule katika nafasi mbalimbali

    Mheshimiwa raisi toka umeingia madarakani kumekuwepo mkanganyiko wa teuzi zako ambapo kuna kipindi uteuzi unapofanyika ndani ya siku chache mabadiliko yanafanyika ukianzia yule mkuu wa mkoa wa shinyanga,uje yule mkurugenzi wa NSSF, yupo yule ulimpeleka bandarini haukupita muda tukasikia umemtoa...
  11. chilumendo

    Nimeanza kukohoa mfululizo baada ya kufika kwa kinyozi

    wadau naomba msaada nifanyaje nitumie dawa gani maana nilikuwa naenda kwa kinyozi kunyoa ndevu nilivyofika tu nilihisi kama nimepaliwa nikaanza kukohoa mfululizo nikaomba maji ninywe hayakusaidia nimeshindwa kunyoa sababu ya kukohoa mfululizo nikahisi nimemeza nywele labda zimekwama kooni...
  12. chilumendo

    Hivi suala la kujamba ukiwa na mpenzi wako lina umuhimu katika mapenzi?

    Nawasalimu wana MMU, Siku chache zilizopita mpenzi wangu tukiwa pamoja aliniambia toka tuanze mahusiano naye ya kulala pamoja hajawahi kusikia nikijamba usiku akauliza ni kwanini sifanyi hivyo? Nilikuwa nawauliza wadau wangu wenye uzoefu wa masuala ya mahusiano kama kuna ladha yoyote anayopata...
  13. chilumendo

    Mpenzi wangu amejisaidia haja ndogo kitandani, kumuuliza akasema ni bahati mbaya

    Wanaukumbi kwanza nawasalimu nyinyi nyote mtakaosoma post yangu hii.Nirudi kwenye mada, ninaye mpenzi ambaye tumedumu naye karibu mwezi mmoja na nusu yeye anakaa kwake amepanga nyumba na mimi ninakaa kwangu sasa katika huo muda wa mahusiano kuna muda hua naenda kulala kwake kama mara nne hivi...
  14. chilumendo

    Katika hali ya kushangaza, Wazambia huku mpakani waamua kumpigia Lowassa kampeni

    Niko huku mpakani mwa zambia na mkoa wa Rukwa katika vijiji vya Kasesha, Katete,Tatanda na Safu nimekuta mwamuko mkubwa wa uchaguzi wa mwaka huu, na wanakijiji wengi kama si wote wameapa kumpatia lowassa kura. Nilivyouliza mwamuko huo umesababishwa na nini jibu nililopewa ni kwamba Wazambia...
  15. chilumendo

    Mwenye uelewa namna ya kufungua opera mini naomba msaada

    samahani wadau mwenye uelewa namna gani nifungue opera mini anisaidie kwani weekend hii ilianza kugoma kufunguka sijui tatizo. Nimejaribu kuupdate lakini nikifungua haifunguki tafadhari wadau naomba msaada kwani link hii ndiyo naipendelea kuitumia zaidi kuliko nyingine
  16. chilumendo

    Dada aliyetayari kwa sasa kuolewa changamkia fulsa

    Mie nina miaka 33 ninahitaji mdada wa kuoa , Hasizidi miaka 30 Elimu angalau awe amefika kidato cha nne, Mambo mengine tutafahamishana ukini pm , Mdada mwenye utulivu niwakati wa kuchangamkia nafasi kwan ni moja tu.
Back
Top Bottom