Msaada tafadhali laptop ina tatizo kwenye keyboard

chilumendo

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
2,589
2,000
Salaam wadau wangu wa nguvu.
Naomba msaada kwa yeyote mwenye ujuzi na hili tatizo la laptop yangu.

Nimenunua laptop kwa mtu aina ya FUJITSU nadhani ni kutoka japan tatizo lake ni pale ninapotype herufi u,i,o,h,j,k,n,m badala ya kutokea herufi zinajitokeza namba.
Niombe msaada ni namna gani niliondoe hili tatizo
 

pamjela

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
340
1,000
kama hiyo keyboad siyo fullkeyboard
Jaribu hii chomeka KEYBOAD ya nje then toa NUMBLOCK kile kitaa cha kwenye keyboard uliyochemekaa nje kijizime then chomoa hiyo keyboard kisha jaribu tena hizo herufi kama zitakubari
 

chilumendo

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
2,589
2,000
kama hiyo keyboad siyo fullkeyboard
Jaribu hii chomeka KEYBOAD ya nje then toa NUMBLOCK kile kitaa cha kwenye keyboard uliyochemekaa nje kijizime then chomoa hiyo keyboard kisha jaribu tena hizo herufi kama zitakubari
Hii keyboard ya nje naipataje mkuu?
 

Alpha Blondy

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
283
500
Nilijaribu lakini nahisi nakosea,
Zile plus ulizoweka ninapobonjeza niziweke?
Herufi ulizonitumia nitumie hizohizo au niweke zote zinazomisi?
Asante mkuu
Izo plas hauweki yani iyo ni sequence ya kufuata anachomaanisha kwenye + ni kuwa unabonyeza bila kuachia cha mwanzo yani hapo unaanza
Ctrl" Alfu alt" Uku kidole kilichobonyeza ctrl kikiwa bado hakijatokewa alafu unabonyeza izo key nyingine bila ku release vidole

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom