Wanasimba tuendelee na uungwana labda kuna siku jirani zetu watajifunza

chilumendo

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
2,903
3,079
Habari wandungu zaidi wanasimba wenzangu.

Kama mnakumbuka wanautopolo msimu uliopita wa ligi ya mabingwa walikuwa wananunua jezi ya mpinzani wa simba wakiongozwa na bosi tena zilikuwa zinauzwa kwenye maduka ya wachambuzi uchwara.

Lakini msimu huu sijaona mchambuzi yeyote kuhamasisha wanasimba kwenda kununua jezi za wanageria nadhani wanasimba wanajitambua hawawezi kufanya ujinga huo.

Wanasimba hongera kwa hilo kishiriki kwetu caf champion kumetufanya tustarabike. Majilani zetu yanga igeni hata hili baada ya kuiga la kutobeba waajiliwa wenu kwenye machela
 
aisee zipo wapi mm nataka kuvaa kwani tunapangiwa..?
 
Back
Top Bottom