Nimeshauriwa na daktari kuanza kutumia dawa za kushusha pressure

chilumendo

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
2,905
3,083
Habari wataalamu wa tiba katika forums hii.
Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze kutumia dawa za kushusha.
niombe kwenu wadau kama kuna yeyote hali hii ilishawahi mkuta na kutumia dawa siyo kwamba nitakaribisha matatizo zaidi kwani hali yangu ya afya iko vizuri changamoto ninayokutana nayo ni kutoka jasho jingi hasa wakati wa usiku.
 
Mtu haanzishiwi dawa za presha mpaka atakapopima zaidi ya mara 2 kwa siku, vipimo vipishane kwa tofauti ya masaa ma4 kutoka kipimo kimoja kwenda kingine na katika siku/sehemu 3 tofauti. Ikiwa ni hivyo, na ikaonyesha vipimo vyote vipo juu, hapo ndio tutasema una tatizo la presha.. Je, walifanya hivyo?

Pili, tutahitaji taarifa zako ili tuweze kukufafanulia, kwa mfano; una umri gani? (Unaweza kujibu early 20s au late 30s kulinda taarifa zako), umepima kwenye kituo cha afya au hospitali? Na wamekushauri utumie dawa gani?
 
Mkuu fuata ushauri wa daktari ukifanya mchezo utapata ulemavu wa kudumu yani stroke
 
Endeleea kupuuzia afya ni juu yako. Ukipata Stroke urudi hapa tena kuomba Ushauri.

Au ukipata Shambulio la Moyo jiandae kuzibua Mishipa Kwa Prof Janabi Milioni 10
Habari wataalamu wa tiba katika forums hii.
Nimekwenda kituo cha afya ikigunduliwa ni pressure iliyojuu sana ambapo iko kwa kiwango cha 180/117 kutokana na kiwango hicho nimeshauriwa nianze kutumia dawa za kushusha.
niombe kwenu wadau kama kuna yeyote hali hii ilishawahi mkuta na kutumia dawa siyo kwamba nitakaribisha matatizo zaidi kwani hali yangu ya afya iko vizuri changamoto ninayokutana nayo ni kutoka jasho jingi hasa wakati wa usiku.
 
Mtu haanzishiwi dawa za presha mpaka atakapopima zaidi ya mara 2 kwa siku, vipimo vipishane kwa tofauti ya masaa ma4 kutoka kipimo kimoja kwenda kingine na katika siku/sehemu 3 tofauti. Ikiwa ni hivyo, na ikaonyesha vipimo vyote vipo juu, hapo ndio tutasema una tatizo la presha.. Je, walifanya hivyo?

Pili, tutahitaji taarifa zako ili tuweze kukufafanulia, kwa mfano; una umri gani? (Unaweza kujibu early 20s au late 30s kulinda taarifa zako), umepima kwenye kituo cha afya au hospitali? Na wamekushauri utumie dawa gani?
Ila kama hakuna error kwenye upimaji, na kama wamerudia mara 2, na wamepima mtu zaidi ya mmoja, hata kama ni kituo cha afya, basi hiyo pressure inatosha kabisa kusema ana HYPERTENSION.

Na hashauriwi kurudi nyumbani eti kesho akapime kituo kingine ili ajiridhishe.

Hiyo pressure muda wowote inampa STROKE.
 
Mkuu fuata ushauri wa daktari ukifanya mchezo utapata ulemavu wa kudumu yani stroke
Watanzania wengi ni wabishi sana.

Hapa mpaka analeta huku maana yake hajakubaliana na Ushauri aliopewa.

Sisi kwetu ukija tunakutandika Miti Shamba tu na kukwambia hazina Madhara.......kinchotekea sasa ni majuto.

BushDokta tunatoa dawa inatibu Presha, busha, ngiri, moyo na Chango

Za Hospitali zikimshinda aje kwetu
 
Ukiwa mbishi kama mimi inaweza ikakukosti sana!

Fuata ushauri wa daktari maana hiyo presha iko juu sana. Hiyo ni
medical emergency tayari; na ukipasua vi capillaries huko kichwani kwisha kazi!

20240130_112430.jpg
 
Nunua Ile mashine ya kidijitali ya kujipima presha.

Kabla ya kunywa dawa unajipima kwanza.Ukikuta Iko juu unakunywa dawa ukikuta Iko normal unapotezea.

Bila kupima Unaweza kunywa dawa siku hiyo kumbe presha Iko normal ikakuletea uchovu mwingi na complications kibao.
 
Mtu haanzishiwi dawa za presha mpaka atakapopima zaidi ya mara 2 kwa siku, vipimo vipishane kwa tofauti ya masaa ma4 kutoka kipimo kimoja kwenda kingine na katika siku/sehemu 3 tofauti. Ikiwa ni hivyo, na ikaonyesha vipimo vyote vipo juu, hapo ndio tutasema una tatizo la presha.. Je, walifanya hivyo?

Pili, tutahitaji taarifa zako ili tuweze kukufafanulia, kwa mfano; una umri gani? (Unaweza kujibu early 20s au late 30s kulinda taarifa zako), umepima kwenye kituo cha afya au hospitali? Na wamekushauri utumie dawa gani?
Nina miaka 40s nimepima hospitali ya wilaya
 
Hapo kuna changamoto mkuu,
Kubali kuanza dozi, huwa wanaongeza/wanapunguza grams kulingana na tatizo. Ila mara nyingi ukishaanza kutumia dawa za pressure ndio hadi maisha yakome.
Hee hatari hii
 
Back
Top Bottom