chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,004
- 3,368
wadau naomba msaada nifanyaje nitumie dawa gani maana nilikuwa naenda kwa kinyozi kunyoa ndevu nilivyofika tu nilihisi kama nimepaliwa nikaanza kukohoa mfululizo nikaomba maji ninywe hayakusaidia nimeshindwa kunyoa sababu ya kukohoa mfululizo nikahisi nimemeza nywele labda zimekwama kooni nimetumia kila njia nimesukutua kooni,kupitisha tonge kooni bila kutafuna lakini haijasaidia leo ni siku ya pili nakohoa mfululizo naomba msaada wadau usiku nakesha nakohoa