Dada aliyetayari kwa sasa kuolewa changamkia fulsa

Dada aliyetayari kwa sasa kuolewa changamkia fulsa

chilumendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
3,428
Reaction score
4,476
Mie nina miaka 33 ninahitaji mdada wa kuoa ,

Hasizidi miaka 30

Elimu angalau awe amefika kidato cha nne,

Mambo mengine tutafahamishana ukini pm ,

Mdada mwenye utulivu niwakati wa kuchangamkia nafasi kwan ni moja tu.
 
Tatizo lugha uliyotuia nyepesi saaanaaa....onyesha uzito kidogo ma beibe tuone uko kwenye kutangaza nia kwel
 
Tatizo lugha uliyotuia nyepesi saaanaaa....onyesha uzito kidogo ma beibe tuone uko kwenye kutangaza nia kwel

niko serious wapendwa suala la uwepesi wa lugha lisikupe shaka kwangu naona niko sawa naweza kutumia lugha ya kukuvutia lakin nikacheat ingawa biashara matangazo
 
mbona hata sifa za umtakaye hakuna jaman sifa zako ww mwenyewe ht mtu akikupm awe na analolitegemea kwako
 
Afadhal wewe kuna watu hua wanaweka vigezo utafikirii anaomba kaziii
 
mbona hata sifa za umtakaye hakuna jaman sifa zako ww mwenyewe ht mtu akikupm awe na analolitegemea kwako

sifa nimtakaye nimeweka kwenye post labda kama hujiamini amini kwani si kila mdada ni wife materials.Kama unajiona unakasoro ni vyema ukapotezea.Sifa ya nyongeza ni kuwa mkristo atapewa kipaombele,mwislam atafikiriwa,mwislam anayefunga uso wote hana nafasi kwangu apotezee kabisa
 
Afadhal wewe kuna watu hua wanaweka vigezo utafikirii anaomba kaziii

unachosema kweli nadhani hawajiamini, kama mwanamke anahitaji mwanaume wa kumuoa sidhani kama unahitaji kumpigia magoti ili akubali wanawake wenyewe hawa ni rusha roho unaweza kujuta kuoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom