Search results

  1. CARIFONIA

    Mwamba steven Azizi Key kageuka gumzo kwa Madiba

    Hizi zinaweza kua si habari njema kwa wananchi, na ukizingatia mwishoni mwa msimu mwamba anamaliza mkataba wake. Huko bondeni kwa MADIBA mashabiki wa timu zote kubwa wameoneshwa kukoshwa na uwezo wa master key huku wakimwagia sifa kibao na bahadhi yao wakita kumuona msimu ujao anavaa Uzi wa...
  2. CARIFONIA

    Je, wazazi mnaiona kesho ya watoto wenu?

    Samahani jamani sikuanza na salamu sababu kichwa kina mambo mengi, navyosema kichwa namaanisha hiki kilichobeba ubongo, so sitaki ufikirie tofauti. Nirudi kwenye hoja yangu, leo nimewaza tu kama mzazi, huku nikitambua wajibu wa mzazi kwa watoto wetu, kwani wazazi tunachangia kwa kiasi kikubwa...
  3. CARIFONIA

    Maharage bora na safi kabisa bei kitonga

    Napatikana Kibaha mail moja mkuu
  4. CARIFONIA

    Maharage bora na safi kabisa bei kitonga

    Napatikana Kibaha mail moja mkuu
  5. CARIFONIA

    Maharage bora na safi kabisa bei kitonga

    Jamani kama mnavyojua nchi hii bei za vitu avitabiriki, kujiwekea akiba ni jambo la msingi sana, leo sukari inasumbua lakini kwa waliokua na akiba ya kutosha mambo ni shwari. Haya hii hapa fursa maharage safi kabisa na bei ni kitonga unateleza tu, tunauza kuanzia kilo moja na kuendelea Kilo...
  6. CARIFONIA

    Kwa haya anayoyafanya Makonda najaribu kufikiri nje ya box

    Ndugu zangu wadanganyika, Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi. Ukweli ni kwamba...
  7. CARIFONIA

    Pamoja na yaliyo tokea lakini Simba atafuzu robo fainali kwa kuongoza kundi

    Ukweli ni kwamba mechi inayokuja Kwa mkapa Simba akijitaidi sana kapata sare, simba hawezi mfunga wydad japo kweli ni wabovu, simba hakuna mfungaji, katika mechi tatu wana goli moja tena la penati.
  8. CARIFONIA

    Wanayanga tujipange msimu ujao, kikosi chetu kinahitaji wachezaji kama wa 4

    Always washabiki hutoa maoni bahada ya kuona matokeo huyu kocha alikua Bora kabisa kabla ya hii hatua ya makundi sasa. Matokeo ya hizi mechi mnahanza kunugunika, kua na uvumilivu mwalimu alaumiwe akishindwa kuvuka hatua ya makundi, kundi bado liko wazi Kwa yeyote kusonga mbele
  9. CARIFONIA

    Kocha kimwonekano kabisa anaonekana hamna kitu halafu mnategemea mumfunge Mwarabu kwa Mkapa?

    Always makolo ni wajinga wanashangaa yanga kupata point moja mechi mbili na wanasahau wao msimu uliopita mechi mbili hawakua na point hata moja, mechi ya kwanza walichapwa moja mtungi na Horoya then wakaja wakabakwa mara tatu na mwarabu Raja Casablanca ya Morocco na leo wamesau au ndio kuijizima...
  10. CARIFONIA

    Mambo usiyoyajua kuhusu 2Pac

    Hapa kuna baadhi ya mambo ambayo huenda usiyoyajua kuhusu 2Pac: Jina lake kamili: Jina kamili la 2Pac ni Tupac Amaru Shakur. Alipewa jina hilo kutokana na jina la kiongozi wa uhuru wa Amerika Kusini, Tupac Amaru II. Ujumbe wa kisiasa: 2Pac alikuwa msanii mwenye sauti yenye nguvu katika muziki...
  11. CARIFONIA

    The Goat himself

    Mwaba huya hapa, mshikaji kama amegoma kufa. Bado anatrend kinoma katika social network ukilinganisha na wasanii kibao ambao wangali hai. Picha za Pac zimekua ni brandi kubwa katika bidhaa kibao kama kwenye t-shirt, viatu, vitambaa, mabegi, tattoo, na ni role model kwa raia kibao. 2Pac dunia...
  12. CARIFONIA

    Uchawi wa yanga umewalipa

    Kuna msemo umekua maarufu sana kwa sasa, kwamba mpira ni mchezo wa hadharani watu wanacheza uwanjani na kila mmoja anatazama, kama kuna sehemu ambazo yanga wamefanikiwa sana ni kuwekeza kwenye uchawi wa kisasa kwa kizungu tunweza kusema modern witchcraft, uchawi huu unahusisha vitu kama vinne tu...
  13. CARIFONIA

    FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    niwakumbushe tu hawa marumo pamoja na rivers kabla hawajacheza na yanga walikua hawajapoteza mchezo hata mmoja kwenye aridhi zao ila mwanaume kaja kawatoa bikra tena kwao
  14. CARIFONIA

    FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    kwenye kikosi kizuri hapo ndio umeongea kwenye bahati hakuna kitu kama hicho
  15. CARIFONIA

    FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    huo ni ushamba kama ni njia nyepesi kapita simba kuanzia hatua za mwanzo mpaka kwenye makundi lakini ndio hivyo timu bovu
  16. CARIFONIA

    FT: Nusu Fainali ASFC Cup: Azam FC 2-1 Simba SC : 07-05-2023, Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara

    huyo ndio kibu tunaye mjua sisi achana na yule wa darby ilikua ni booster ya mganga
  17. CARIFONIA

    Hatutaki dini ndani ya serikali

    itoshe tu kusema mtoa mada wewe ndio unaonekana we ndio mdini na hata chapisho lako linonesha kua una matatizo kichwani mwako, labda cha kukusaidia tu tafuta shuguli ya kufanya kuliko kutumia muda wako kuandika upuuzi kama huu
  18. CARIFONIA

    Wabobezi wa siasa za Kiafrika nisaidieni; kwanini Kenya ina siasa za kipekee ndani ya Afrika Mashariki?

    Mnasifia Sana mpaka mnajisahau havi Kuna taifa east Africa linaiizidi Kenya kua na viongozi mafisadi?
  19. CARIFONIA

    Kazi ina maslahi makubwa, posho za kutosha, vigezo ni vyeti vya chuo ila hata Darasa la 7 anaweza kuifanya

    Watu wengine kama washirikina vile yahani mtu upo naye wewe umeshindwa kumuuliza iyo kazi unakuja jf eti wakusaidie
Back
Top Bottom