Uchawi wa yanga umewalipa

CARIFONIA

JF-Expert Member
Aug 17, 2013
518
901
Kuna msemo umekua maarufu sana kwa sasa, kwamba mpira ni mchezo wa hadharani watu wanacheza uwanjani na kila mmoja anatazama, kama kuna sehemu ambazo yanga wamefanikiwa sana ni kuwekeza kwenye uchawi wa kisasa kwa kizungu tunweza kusema modern witchcraft, uchawi huu unahusisha vitu kama vinne tu ambavyo ni

Ungozi bora, wala hili halina ubishi nadhani yanga wamefaniwa kuwa na uongozi bora kbisa, viongozi wa yanga wajmetambua majukumu yao ni nini, nadhani wameweza kwa kiasi kikubwa kuhakikisha wanasimama na timu na kuweka mazingira mazuri kwa wachezaji na benchi la ufundi ili kuhakikisha timu inapata mafanikio iwapo uwanjani

Benchi bora kabisa la ufundi, kama kuna sehemu wananchi wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye hii misimu miwili ni uwekezaji wao kwenye benchi la ufundi yanga wamepata mwalimu bora kabisa wao wanamuita profesa Nabi akisaidiana na wenzake wamenza kuunda timu tishio kabisa sio tu hapa bongo bali Afrika nzima

Jambo la tatu ni uwekezaji kwa wachezaji, wala hapa sihitaji kutoa manenono mengi wengi tunaona jinsi gania yanga walivyo na kikosi bora, wachezaji wenye quality ya hali ya ju wanokaa benchi mpaka wale wanaoanza wote wanalingana kwa ubora, pia wachezaji wanajua kujituma na wanajua wanataka nini.

Jambo la nne ni hamasa kubwa kutoka kwa mashabiki ndiyo huu nao ni uchawi tosha mashabiki wanaipenda timu yao na wamekua wakiwasapoti kwa kila namna tangu enzi za msoto mpaka sasa.

Hivi vitu nilivyovitaja hapo juu ndio uchawi tosha yanga walioweza kuutumia na umewalipa kwelikweli, ushauri wangu kwa vilabu vingine wanaweza jifunza pia kwa wenzao walichokifanya kuiga sio dhambi.

Mwisho tu nipende kusema msitafute sababu zisizo na mashiko kuficha udhaifu wenu, eti kwenye kombe la shirikisho kuna timu nyingi mpya kwani wale makirikiri na vipers walishawai kushiriki before kwenye hayo mashindano yenu ya wakubwa, mara yanga kaifunga timu inayoshuka daraja kwani wale mashujaa na green warriors walikua daraja la ngapi? wakati wanawatatueni marinda.
nakumbukumbu tunayoa ni kwenye hili kombe la shirikisho mliroga hadharani na kutoboa amukutoboa acheni chuki angalieni wapi mmeshindwa na mjifunze kutoka kwa wenzenu..

.
 
Umeanza vizuri, umetoa elimu vizuri, lakini mwisho, umeshindwa kujizuia UTOPOLO wako!

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
1684386264234.png
 
Mashabiki wa Tanzania huwa tunaipenda timu ikifanya vizuri tu not otherwise. Sasa hivi sisi wanayanga tunaisupport na kumsifia Nabi kwa sababu anafanya vizuri siku ikitokea akapigwa mechi mbili mfululizo basi kwisha.
Same ilikuwa kwa simba kama mwezi mmoja nyuma mashabiki walikuwa wanasifia sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom