Search results

  1. JipuKubwa

    Tupe updates za athari za mvua hapo ulipo

    Kwenye hoja direct, mwana jamvi kutokana na mvua zinazoendelea hasa katika jiji la Dar es salaam huku Kimara hasa barabara ya Bonyokwa imeharibika sana. Vipi wewe huko ulipo? Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  2. JipuKubwa

    Waziri wa ujenzi aione kwenye faili.

    Moja kwa moja kwenye hoja,ndugu waziri wa ujenzi hii barabara ya kutoka Kibaha kwenda Bagamoyo kupitia Loliondo kutokea Vikawe (Baobab sekondari),mkandarasi anayejenga yupo 'slow' mno ukilinganisha na umuhimu wa barabara hiyo. Kumbuka hospitali ya rufaa ya mkoa ipo Kibaha,hivyo barabara hii...
  3. JipuKubwa

    Inachukua siku ngapi wastani kutoa gari bandrini?

    Heri ya mwaka mpya wana jamvi, nawatakia 2022 wenye baraka Kwenye mada,naomba kuuliza inachukua muda gani kutoa gari bandarini baada ya meli kushusha, maana ni muda sasa tangu meli ishushe wakala hajanikabidhi gari yangu ilikuwa niitumie kwenda Rombo kusalimia wazee.Msaada tafadhali kwa wajuzi...
  4. JipuKubwa

    Nahitaji toyota premio cc 1490 ya 2003/4,bajeti yangu ni milion 10.

    Wakuu nahitaji gari tajwa hapo juu,aliyenayo anicheki pm tumalize biashara.
  5. JipuKubwa

    Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

    Wanabodi habari, Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni. Naomba ufafanuzi tafadhali.
  6. JipuKubwa

    Ushamba wa watangazaji wa ITV

    Habari wana jamvi,leo wakati wa kipindi cha michezo baada ya taarifa ya habari mtangazji Amri Masare ameibuka na bonge la shati. Sasa najiuliza ni ushamba au ni staili mpya iliyoletwa na Kofii Olomide. Kama ni staili mpya wana bodi tuambizane.
  7. JipuKubwa

    Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

    Wanajukwaa, yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu. Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni...
  8. JipuKubwa

    Kamati ya Bunge yaitaka Serikali kuwaongeza mshahara Watumishi wa Umma

    Habari wanabodi,leo katika taarifa ya habari saa mbili usiku,kamati ya bunge imewasilisha pendekezo kwa serikali kuwaongeza na kuwapandisha madaraja watumishi wa umma. Mbunge Elibariki Kingu ameitaka serikali kutambua umuhimu wa watumishi wa umma hasa baada ya kusubiri kwa muda mrefu ili kuwapa...
  9. JipuKubwa

    Kwenu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye hoja. Katika pitapita zangu hapa mjini 'Daslam' juzi jioni nikapita kwa wauzaji wa maandazi, keki,vitumbua na michapati kama yote. Baada ya malipo nikafungiwa bidhaa zangu huyo hadi home. Baada ya kufungua...hamad !,nilistuka baada ya kugundua mfuko...
  10. JipuKubwa

    Shimo kubwa kona ya kuingia kituo cha Simu 2000

    Habari wana JF, ukiwa unatoka Mwenge unaingia kituo cha Simu 2000 kwenye kona kuna shimo kubwa, mashuhuda wanasema kila siku gari zinatumbukia hapo pamoja na kuleta uharibifu wa vipuri vya magari. Tunaomba mamlaka husika wachukue hatua haraka. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. JipuKubwa

    Nauza kiwanja, kipo Mapinga Bagamoyo

    Habari wana jf,nauza kiwanja ukubwa ni 25 kwa 25 na tofali nakupatia bure kama 3000.Bei ni 6m pungufu tunaongea.Kama upo serious karibu sana....hakuna dalali,nauza mwenyewe ninashida ya haraka sana.0766 286 419
  12. JipuKubwa

    Nauza kiwanja, hakuna dalali

    Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 25,kuna barabara za mtaa na open space.Kipo Mapinga.Milioni 5 na nusu...karibu PM
  13. JipuKubwa

    Msaada wa haraka sana unahitajika

    Heri ya mwaka mpya wana JF, naomba kujua ni maziwa gani ya kopo yanafaa kwa mtoto mchanga chini ya miezi sita. Mama yake asubuhi atakuwa anakwenda kazini na kurudi saa tano asubuhi,kwahiyo hayo maziwa ni kwa muda ambao mama hayupo. Naomba ushirikiano katika hili ili tuboreshe afya ya kijana.
  14. JipuKubwa

    Hii ndo speech ya David Cameron, nzuri sana

    British Prime Minister David Cameron announced Friday morning that he will step down as prime minister in the fall, saying the country needs "fresh leadership."His announcement follows UK voters' historic referendum decision to leave the European Union.He said he will continue as prime minister...
  15. JipuKubwa

    Luanda jiji la pili duniani kuwa na maisha ghali, kumbe Dar ni chee!

    Utafiti unaonesha kuwa jiji la Luanda -Angola ni la pili duniani kuwa na maisha ghali zaidi hata Newyork.Pia inaonesha katika Afrika jiji la Windhoek -Namibia gharama za maisha zipo chini sana.Binafsi utafiti huu umenisaidia kuelewa hali ya maisha katika nchi zingine yakoje na kwa usawa huu wa...
  16. JipuKubwa

    Afrika Kusini yaporomoka hadi nafasi ya tatu kiuchumi Afrika

    Kwa muda mrefu Afrika Kusini imekuwa juu kiuchumi barani Afrika hadi kuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi wa kati,wakati fulani wamekuwa na umoja wao (BRICS)...Brazil,Russia,India,China na S.Africa.Lakini kwa sasa Nigeria ni ya kwanza kiuchumi ikifuatiwa na Misri huku Afrika Kusini ikiwa ya...
  17. JipuKubwa

    Bilionea kijana Afrika Mohammed Dewji ajiandaa kutoa ajira laki moja

    Ni habari njema sana kwamba Mo Dewji atatoa ajira laki moja katika makampuni yake hasa ukizingatia kuna tetesi kwamba serikali imesitisha ajira zote mwaka huu. Vijana tuchangamkie fursa hiyo. ====== Africa's Youngest Billionaire Mohammed Dewji Promises To Create 100,000 Jobs In Tanzania...
  18. JipuKubwa

    Nahitaji mkopo kutoka taasisi za fedha.

    Habari GT,naomba kwa anayefahamu taasisi za fedha inayokopesha pesa kwa dhamana ya ardhi,lakini siyo hati bali ni zile karatasi za mauziano na serikali za mitaa.Nawasilisha.
  19. JipuKubwa

    Kagame kuwania urais kwa mara ya Tatu

    Rais Paul Kagame,ametangaza nia ya kuwania urais tena mwaka 2017,hii ikiwa ni baada ya mabadiliko ya katiba itakayomruhusu kugombea kwa mara ya tatu.Swali la kujiuliza,je hii inatoa picha gani kisiasa Afrika ya mashariki? Rwanda’s Paul Kagame officially announces third term bid by Africa...
  20. JipuKubwa

    Manyerere, kwa makala hii umepotea sana (Tatizo la Tanzania si Katiba mpya)

    Nimesoma makala ya Manyerere katika gazeti la Jamhuri la 23/12/15, nimegundua kuwa mwandishi hajui katiba ni nini. Chanzo: Jamhuri
Back
Top Bottom