Shimo kubwa kona ya kuingia kituo cha Simu 2000

JipuKubwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
2,311
2,324
Habari wana JF, ukiwa unatoka Mwenge unaingia kituo cha Simu 2000 kwenye kona kuna shimo kubwa, mashuhuda wanasema kila siku gari zinatumbukia hapo pamoja na kuleta uharibifu wa vipuri vya magari.

Tunaomba mamlaka husika wachukue hatua haraka.

20200210_141133.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona katika kila suluhisho wewe huwa unatafuta tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitafuti tatizo ila uposema kuna uwepo wa shimo kubwa kisha ulete picha isiyoonesha hilo shimo lipo eneo gani upande wa hiyo barabara ni uhuni tu.

Vipi kama hiyo gari imekanyaga chemba ya choo chako. Naweza vipi kuamini hapo ni Simu2000? Picha hiyo unaona inaweza kuwa kielelezo cha kutosha?
 
Kawaida usiku kichwa huwa kimevurugika,kesho ukeamka utaelewa huu uzi.Pole na majukumu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom