JipuKubwa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 2,334
- 2,368
Heri ya mwaka mpya wana JF, naomba kujua ni maziwa gani ya kopo yanafaa kwa mtoto mchanga chini ya miezi sita.
Mama yake asubuhi atakuwa anakwenda kazini na kurudi saa tano asubuhi,kwahiyo hayo maziwa ni kwa muda ambao mama hayupo. Naomba ushirikiano katika hili ili tuboreshe afya ya kijana.