Kimepimwa ?Habari wana jf,nauza kiwanja ukubwa ni 25 kwa 25 na tofali nakupatia bure kama 3000.Bei ni 6m pungufu tunaongea.Kama upo serious karibu sana....hakuna dalali,nauza mwenyewe ninashida ya haraka sana.0766 286 419
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Niongezee na mabati kwenye ofa ili nikimaliza linta tu naezeka na kuhamia jumla[emoji4] [emoji4] [emoji4]
sawa ukipata mteja nishtue basiNdiyo mkuu.
Kilishauzwa?Habari wana jf,nauza kiwanja ukubwa ni 25 kwa 25 na tofali nakupatia bure kama 3000.Bei ni 6m pungufu tunaongea.Kama upo serious karibu sana....hakuna dalali,nauza mwenyewe ninashida ya haraka sana.0766 286 419