Waziri wa ujenzi aione kwenye faili.

JipuKubwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
2,311
2,324
Moja kwa moja kwenye hoja,ndugu waziri wa ujenzi hii barabara ya kutoka Kibaha kwenda Bagamoyo kupitia Loliondo kutokea Vikawe (Baobab sekondari),mkandarasi anayejenga yupo 'slow' mno ukilinganisha na umuhimu wa barabara hiyo.

Kumbuka hospitali ya rufaa ya mkoa ipo Kibaha,hivyo barabara hii ndiyo kiunganishi cha Bagamoyo kwa maana ya kupeleka wagonjwa hospitali ya Tumbi.

Barabara ni mbovu mno,mkandarasi yupo site kila siku ila anachofanya hakionekani.Mh waziri tunakuomba uchukue hatua.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mkataba umesainiwa lini?
Mpango wa kazi ukoje?
Anatakiwa akamilishe lini?
Na sasa yuko hatua gani?
Usiseme tu yuko slow wakati ana mkataba chief, washauri wasimamizi wazingatie taratibu na wamshauri atekeleze mkataba kwa wakati nadhani itakua imekaa poa
 
Back
Top Bottom