Bilionea kijana Afrika Mohammed Dewji ajiandaa kutoa ajira laki moja

JipuKubwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
2,334
2,368
Ni habari njema sana kwamba Mo Dewji atatoa ajira laki moja katika makampuni yake hasa ukizingatia kuna tetesi kwamba serikali imesitisha ajira zote mwaka huu. Vijana tuchangamkie fursa hiyo.

======

Africa's Youngest Billionaire Mohammed Dewji Promises To Create 100,000 Jobs In Tanzania

Over the past several months, Tanzania, the 5th fastest growing economy in Africa, has garnered regional and global acclaim with the arrival of the new government headed by President John Pombe Magufuli. Since assuming office in November last year, President Magufuli has implemented sweeping reforms across various public institutions with a new vision and political ethos emphasizing anti-corruption, efficient use of public funds and a renewed commitment to rapid large-scale industrialization.

Last week in Dar es Salaam, President Magufuli hosted the President’s Manufacturer of the Year Awards (PMAYA) – an annual event designed to honor the most outstanding manufacturers in the country. At the event, the president assured guests that his government is rallying behind the manufacturing sector to ensure that the sector contributes over 15 percent of Tanzania’s GDP and accounts for 40 percent of all new jobs by 2020.

Mohammed-Dewji-Photograph.jpg


Tanzania’s richest man, Mohammed Dewji, who carted away several prizes at the ceremony, and received accolades from the President for being the country’s largest private employer of labor, promised the President that he’ll create thousands of new jobs for Tanzanians within the next few years.

“I am going to invest more than $500 million over the next 4 years to employ over 100,000 people across Africa by 2021 with a significant majority of those jobs coming to Tanzanians,” Dewji said in a conversation with this writer.

Dewji, 41, continues to be one of the key players in private sector-led development in the country, well known for being a leader in local employment and manufacturing in East and Central Africa. His conglomerate, the METL Group, now operates in over 35 industries as diverse as trading, agriculture, manufacturing, energy and petroleum, financial services, mobile telephony, infrastructure and real estate, transport, logistics and distribution.

To date, MeTL Group currently employs 28,000 people, translating to approximately 2% of formal private sector employment in the country, from MeTL Group alone. This makes Dewji the second biggest employer in the country after the Government of Tanzania.


In an effort to expand its core business activities and increase employment across the countries it operates in, MeTL group is currently undertaking several growth and expansion projects, all of which fall into three broad categories: capital expansion, efficiency and value chain, and regional expansion.

Chanzo: Africa's Youngest Billionaire Mohammed Dewji Promises To Create 100,000 Jobs In Tanzania
 
Unajua haya mambo wakati mwingine ni shida sana, serikali inaweza kusema raia wake wamepewa Ajira na mwekezaji halafu mwishowe watu wake wanaishia kwenye umasikini na utumwa wa ndani. Serikali ikisimamia vizuri watu wake kwenye hizi ajira zinaweza kuwasaidia watu wake, lakini ikiwaachia hawa wahindi,waarabu na wachina waamue wakitakacho kwenye hizi ajira basi huwa ni janga kubwa sana na chanzo cha umasikini..
 
ni vibarua alafu mshahara wote unaishia kwenye nauli na chakula!...sina ham nao wanyonyaji hao.!
Mshahara Laki 2 kulipoti ofisini asubuhi na jioni!unafanya kazi masaa 10!!
Msizani tunapenda kushinda vijiweni bure!!Haipendwi Kazi, bali kazi na mshara unaokidhi mahitaji!!

BANGO
 
Unajua haya mambo wakati mwingine ni shida sana, serikali inaweza kusema raia wake wamepewa Ajira na mwekezaji halafu mwishowe watu wake wanaishia kwenye umasikini na utumwa wa ndani. Serikali ikisimamia vizuri watu wake kwenye hizi ajira zinaweza kuwasaidia watu wake, lakini ikiwaachia hawa wahindi,waarabu na wachina waamue wakitakacho kwenye hizi ajira basi huwa ni janga kubwa sana na chanzo cha umasikini..

maneno yako ni kweli kabisa! hawa watu hawana huruma kwa mama TANZANIA! kodi ndiyo hivyo tena...uwiiiii jamani
 
Hili la vibarua linahitaji kujadiliwa ki-ueledi. Jiulize yafuatayo: Kama hela haitoshi mbona watu wanaenda kuomba kazi kila siku na wengine wanabaki mlangoni kubahatisha? Sikatai kuwa malipo hayatoshi lakini kiukweli anawezesha watu kusogeza siku badala ya kukaa vijiweni au kuomba omba kwa ndugu. Wengine wanachukulia kama ngazi ili watokee hapo kwenda kwenye kazi ya malipo makubwa zaidi. Mi naona tusibeze sana. Wengi mna wafanyakazi wa ndani, hebu sema ukweli mnawalipa vizuri?
 
Hao mabilionewa kibonugo ni vigumu kuona ufalme wa mungu aheli ya Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Unajua haya mambo wakati mwingine ni shida sana, serikali inaweza kusema raia wake wamepewa Ajira na mwekezaji halafu mwishowe watu wake wanaishia kwenye umasikini na utumwa wa ndani. Serikali ikisimamia vizuri watu wake kwenye hizi ajira zinaweza kuwasaidia watu wake, lakini ikiwaachia hawa wahindi,waarabu na wachina waamue wakitakacho kwenye hizi ajira basi huwa ni janga kubwa sana na chanzo cha umasikini..
nani amekwambia Mo ni mchina, mhindi au ni mwarabu? mo dewji ni mwafrica mtanzania!
 
Unajua haya mambo wakati mwingine ni shida sana, serikali inaweza kusema raia wake wamepewa Ajira na mwekezaji halafu mwishowe watu wake wanaishia kwenye umasikini na utumwa wa ndani. Serikali ikisimamia vizuri watu wake kwenye hizi ajira zinaweza kuwasaidia watu wake, lakini ikiwaachia hawa wahindi,waarabu na wachina waamue wakitakacho kwenye hizi ajira basi huwa ni janga kubwa sana na chanzo cha umasikini

Huyu muhindi hizo anazosema ajira ni vibarua kwenye mashamba ya mkonge aliotapeli wakati wa ubinafsishaji!!!

Miaka kumi ya ubunge wake enzi ya mkweree maendeleo aliowapelekea wanyaturu kule Singida ni kuwagawia unga wakati wa njaa na kujenga misikiti basi!!!!
 
Back
Top Bottom