Search results

  1. C

    Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi, Juma Raibu Juma

    Mh. Juma Raibu Juma, Uliahidi kushirikiana na Madiwani wote pamoja na Watendaji wa Halmashauri katika kufanya kazi kwa bidii , weledi na kuzingatia maadili ili kuharakisha Maendeleo ya Manispaa ya Moshi na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2020-2025. Mimi nikiwa...
  2. C

    Japo lockdown ni ngumu ila itasaidia kutokuenea kwa virusi

    Kukaa lockdown kutasaidi kutokuenea kwa virusi. Ni heri ukutwe nje unatafua chakula ila sio kutafuta hela, hela hazijai. Sasa hivi watu wanatafuta hela kwa ajili ya maendeleo, wengine wanatafuta ili walipe madeni, kodi za nyumba, kodi za maduka. Wapo wanaotoka kwa ajili ya kutafuta hela za...
  3. C

    Ombi: Serikali izuie kwa muda ulipaji wa pango kwenye nyumba za kupanga kipindi hiki kigumu

    Wameanza wenzetu Uganda. Je kwetu inawezekana? Maana tutaambiwa tukakae nyumbani wakati hata kazi za kuingiza kipato hatutakuwa tunafanya. Je serikali italiangalia hili?
  4. C

    OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
  5. C

    Baada ya Vifurushi vipya: Internet speed ya Vodacom ni majanga

    baada ya vodacom kufanya mabadiliko kwenye vifurushi vyao, speed imekuwa ndogo sana, kufanya update kwenye simu ya iphone inachukuwa masaa 12 , yaani file firmware ya iphone yenye ukubwa wa GB 4 utadownload kwa masaa 12. Tofauti na hapo kabla, ilikuwa nachukuwa nusu saa tu. Tunawaomba vodacom...
  6. C

    Vodacom Mnamatatizo sana Jibu ! Globa

    Mimi nipo Mbeya napewa taarifa za mkuu wa mkoa wa Dar zinisaidie nini? halafu nakatwa sh 100. kwann wasitupe habari za sehemu au mkoa tuliopo tu. Mkuu wa Mkoa DSM asimamia MIRADI ya DSM, DPP aendelea kupokea MAOMBI ya Wahujumu Uchumi. Taarifa Zaidi. Utatozwa Tsh 100/siku
  7. C

    Nitapata wapi Fresh Parsely na Celery - Moshi?

    Nipo Mkoani kilimanjaro kwa miezi 3. ninashida na bidhaa tajwa hapo juu. mwenye kufahamu wapi nitapata fresh celery na Parsely hapa Moshi anijuze
  8. C

    Liverpool vs. Wolves:

    Mmmm hawa jamaa wolves leo wanawapunguza point jamaa. Watagawana point leo. Heading ni Wolves vs liverpool.
  9. C

    Vifurushi vya Vodacom vipya ni balaa

    vifurushi vya Vodacom vipya ni balaa. kwangu vinasomeka hivi. na line 2 inasoma hivi nikapitia ya mwenzangu inasoma hivi. kWENYE MPANGILIO HUU MWAKA HUU BASI
  10. C

    Hizi rasha rasha za snow hapo Manchester inakuwaje kwa hii mechi?

    Blanket limekuwa white badala ya green, baridi ni kali sana. Jirani zangu pambaneni makombe yote yaje Manchester. EFL,EPL,UCL > Manchester City, FA > Manchester United.
  11. C

    Baada ya Mancity kushinda na man u, chelsea kutandikwa....

    Baada ya Mancity kushinda gemu leo, Man united, Chelsea kutandikwa, Man city anakuwa anamuacha anaefuatiwa kwa point 15. Walisema mancity atafungwa tu na tutawakaribia, Swali... Wakati mancity anafungwa wao wanakuwa wanashinda? Niliwahi kutabiri kuwa Manchester united bado ana gamu ngumu kama...
  12. C

    Carabao Cup final

    Japo Carabao Cup haifuatiliwi sana ila inaumuhimu wake, Ni hapo Wembley. Kikombe pekee ambacho arsenal wanauwezo wa kukichukua kwa sasa ni hichi tu, maana kwenye FA wametolewa, kwenye uefa hawapo, Epl ndo matumaini hakuna kabisa. swali ni je wataweza kukabiliana na miamba wenzao Manchester...
  13. C

    Hivi Man City itakuwa wapi bila Kevin De Bruyne?

    Wanaweza wakashinda mechi bila ya kuwa na Vicent Company, wameshafanya hivyo mara kibao. wanaweza pia shinda bila Sergio Aguero, na hili linaonekana mara nyingi tu. swali ni je ni wapi Man city itakuwa bila ya mchezaji huyu? Kelvin De Bruyne. Baada ya kutawala mpira ulioiwezesha Man city...
  14. C

    Wizi mwingine Vodacom, je tulalamikie wapi?

    Kuna vifurushi tunanunua kupitia hapa "Ya kwako tu" kweye Menu yangu 1. Tsh 2000 = 5012MB/siku 30 2. Tsh 70000 = 73728MB/siku 30 Ukilipia kulingana na maekezo ya hapo juu unakatwa hela yako na unapata tofauti na maelezo ya kwenye menu yao. Mfano mimi nimeweka option namba 1. na nikapata 1GB...
  15. C

    Wapi nitapata Disposable Plastic Glass with dome lid

    Wakuu nimeinging katika biashara ya Juicing na nimekuwa nikitumia Disposable Plastic Glass za ujazo wa 200ml na 400ml. Supplier wang wa glass alikuwa analeta kutoka Kenya Nairobi. Nairobi nilifanikiwa kupata za 200ml na 350ml ila hawakuwa na za 400ml, na nikiweka oreder ya 400ml wanaleta 200ml...
  16. C

    Juma Rahibu pitisha presdaa jengo la stend kuu moshi aone madudu ya tanesco

    Nimepita jengo la stendi kuu moshi nikiwa natokea arusha naelekea Dar, tunauziwa vinywaji vilivyopoa tunaulizia kwanini havina baridi wanasema jengo halina umeme toka juzi, kwa anaejua kiundani naomba tulijadili hapa,
  17. C

    How long is the media going to continue to make Paul pay for it?

    Mistakes zake zimeshajulikana kwa watu, yeye ni binaadam na anaumia kwa haya. Alifanya some stupid decisions and some horrible choices, Lakini alifanya mazuri pia. swali langu hapa ni How long is the media going to continue to make him pay for it
  18. C

    Bar ya jirani yangu wanauza Viroba

    Nimeingia na nilipofika counter nikakuta ametundika viroba vya karanga, na nikamwambia anipe kiroba. akasema hawana na vimepigwa marufuku. nikamwambia mbona naviona hivyo hapo? akageukia pale palipokuwa na viroba vya karanga na akasema hizi ni karanga. Sasa nikataka kujua kwani mbona...
Back
Top Bottom