CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,742
- 1,145
Kuna vifurushi tunanunua kupitia hapa "Ya kwako tu"
kweye Menu yangu
1. Tsh 2000 = 5012MB/siku 30
2. Tsh 70000 = 73728MB/siku 30
Ukilipia kulingana na maekezo ya hapo juu unakatwa hela yako na unapata tofauti na maelezo ya kwenye menu yao. Mfano mimi nimeweka option namba 1. na nikapata 1GB.
Kwanini wanatuibia kwa mtindo huu wa kuweka menu tofauti na unachopewa?
mbaya zaidi unaponunua hawakulete msg ya kuonyesha umepata kifurushi cha ukubwa gani bali mpaka ucheck kwa *149*60#
Nashindwa kuelewa je hali ilivyongumu kwanini wanatuibia kwa njia hii? ni wapi sisi tutalalamika? Je wizara gani inahusika na kuweza kuwakemea hawa wanaotuibia hivi?
Huku ni kutuibia maana wanaweka menu ya uongo.
NB: Kuna ambao ambao wao menu yao iko sawa ila wapo ambao tunaibiwa so naomba wasije wale ambao hawaibiwi wakaaza kutetea uovu wa vodacom.
Vodacom management: Mnaelewa kabisa kinachofanyika please ondoeni huu wizi.