Bar ya jirani yangu wanauza Viroba

CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,628
990
Nimeingia na nilipofika counter nikakuta ametundika viroba vya karanga, na nikamwambia anipe kiroba. akasema hawana na vimepigwa marufuku. nikamwambia mbona naviona hivyo hapo? akageukia pale palipokuwa na viroba vya karanga na akasema hizi ni karanga.

Sasa nikataka kujua kwani mbona vimefungwa ktk ile packaging ya viroba kama vile vya pombe kali. maana hata vile vilivyopigwa marufuku vilikuwa na najina yao kama vile konyagi, kvant,...... ila packaging ndo ikafanya vitambulike kwa jina moja. na ndo hii packaging naiona kwenye karanga.
 
Jirani ndo umekuja hapa kunisemea?. Hata hivo Nina shehena kubwa sana ya viroba hivo siwezi kuvitupa. Karibuni Wateja wa viruzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom