CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,574
- 885
baada ya vodacom kufanya mabadiliko kwenye vifurushi vyao, speed imekuwa ndogo sana, kufanya update kwenye simu ya iphone inachukuwa masaa 12 , yaani file firmware ya iphone yenye ukubwa wa GB 4 utadownload kwa masaa 12. Tofauti na hapo kabla, ilikuwa nachukuwa nusu saa tu.
Tunawaomba vodacom warudishe internet speed ili tueze kufanya kazi zetu kwa haraka zaidi.
shida sip pesa bwana bali muda.
Speed imeshuka sana.
ambao mpo mitandao mingine tujuzeni ili tupate option ya pili maana muda ndio kilakitu.