How long is the media going to continue to make Paul pay for it?

CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,628
990
Mistakes zake zimeshajulikana kwa watu, yeye ni binaadam na anaumia kwa haya.
Alifanya some stupid decisions and some horrible choices, Lakini alifanya mazuri pia. swali langu hapa ni How long is the media going to continue to make him pay for it
 
Lakini kama umefanya mistake huna budi kuomba msamaha na kujibu tuhuma zinazokuzunguka, kukaa kwake kimya ni ishara hana majuto kwa aliyoyafanya kwa hiyo media iendelee kukaza tu vinginevyo na wao watadharaulika.
 
Nakuapia!! Akitoa vyeti tu, vyombo vyote vya habari lazima vitaripoti.....
 
Back
Top Bottom