CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Wakuu nimeinging katika biashara ya Juicing na nimekuwa nikitumia Disposable Plastic Glass za ujazo wa 200ml na 400ml. Supplier wang wa glass alikuwa analeta kutoka Kenya Nairobi.
Nairobi nilifanikiwa kupata za 200ml na 350ml ila hawakuwa na za 400ml, na nikiweka oreder ya 400ml wanaleta 200ml. nilikuwa naendesha biashara yangu kwa kununua 400ml Super market. nimenunua stock yote na hawana tena. kila nikienda wansema zipo store. Nikaja kugundua hawana, na nilipotazama adress kwa chini ya glass ya 400ml nikagundua zimetoka dubai. Naamini yupo anaesupply hizi glass hapa Tanzania na kuzitawanya kwenye ma super market. mwenye kujua wapi nitapa anijulishe please.
kwa chini pameandikwa : www.panache.ae
made in UAE.
Nairobi nilifanikiwa kuwasiliana na kiwandani moja kwa moja wakanipa za 200ml. ila hawatengenezi 400ml.