Search results

  1. KadaMpinzani

    Strategy wapinzani wanayotakiwa kuitumia..Tena sasa hivi yaani kuanzia sasa

    (1) Wasimu-attack Kikwete moja kwa moja ktk mashambulizi yao wanayoyafanya wakiwa katika majukwaa ya siasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi. Kwa nini ? Kumshambulia Kikwete moja kwa moja katika kushindwa kwake, kutasaidiwa na "sweeper" wake, hawa sana sana wanakuwaga wajumbe wa NEC wakiongozwa na...
  2. KadaMpinzani

    John chiligati vs wapinzani: Vita vya maneno!

    Nashindwa kuelewa huyu jamaa kwa nini alisema alichosema. Aliyoyasema ni haya: (a)Aonya vyama vya upinzani kutoihusisha CCM na ufisadi, vinginevyo amani itavurugika. (b) Visimchafue rais Kikwete, HOW? (c)"Tunatoa onyo la mwisho hatutakubali kuona chama kinakashifiwa, kinatukanwa na...
  3. KadaMpinzani

    JK aanza kunyooka..

    :: Akataa nchi kuwa shamba la wajinga :: Aagiza wababaishaji wageni wasipewe kazi :: Mkandarasi Sam Nujoma aonjeshwa joto :: Awageukia TANROADS na bomoabomoa zao Na Godfrey Dilunga, Singida RAIS Jakaya Kikwete (pichani) sasa amewageukia wanataaluma na watendaji wa Serikali katika...
  4. KadaMpinzani

    Kadampinzani asema: MBOWE AHOJIWE!

    Naam ni yule mwenyekiti chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Aikaeli Mbowe. Wiki iliyopita aliweza kutoa maneno makali ambayo kwa kweli ukiangalia kiundani kama unaipenda nchi yako basikamwe hutoweza kuacha hizo kauli ziende tu hivi hivi ! Mbowe ambae anakabiriwa na kesi ya...
  5. KadaMpinzani

    Chuki haitoruhusiwa kwenye hii thread jamani ! (Fulani) Tuachie Chama Chetu !!

    Mbowe tuachie chama chetu March 12, 2008 Baada ya yeye mwenyewe kukwepa vikwazo kadhaa vya kujibu hoja na mambo mengine anayoulizwa kwa njia ya mtandao au kwa simu za mkono kwa muda mrefu , sasa limekuja swala lingine nalo ni la yeye kufeli masomo yake katika chuo alichokuwa ameenda...
  6. KadaMpinzani

    Chemsha Bongo

    Mnajua kwa nini hakuna pool tables zanzibar ?? ukipata jibu, then angalia jina la rais wa pili wa znz, halafu waziri mkuu mstaafu (sio aliyejiuzulu) then niambie !
  7. KadaMpinzani

    Jamiiforum's Friday Nite Live(JFNL)..Hapa ndio kwenyewe!!

    Aaaahh, saa nyingine mada zikizidi kwa kweli zinaboa hasa pale wachangiaji wenyewe wanapokosa cha kuchangia. Sio vibaya kama tuthave fun kidogo hadi jumapili jioni. Naam hapo juu naona FOX-News imelenga kweli kweli ! kama mtapata muda wa kumuona huyu angalieni fox news asubuhi ...
  8. KadaMpinzani

    Waliobomolewa nyumba wawastukia, wawaambia...

    Waathirika wa bomoabomoa waishitukia CHADEMA na julian msacky WAATHIRIKA zaidi ya 90 waliovunjiwa nyumba zao Tabata Dampo, wamesema watashiriki maandamano yatakayoongozwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikiwa lengo ni kufikisha kilio chao Ikulu. Wamedai kuwa, kama lengo...
  9. KadaMpinzani

    Breaking Newssss!!! Hii haijawahi tokea kokote Duniani ila Tanzania tu !Hurry Now

    Nenda kwenye sub-forums ya Hoja Binafsi uone halafu utasema mwenyewe kilichotokea ! Rush Now !! Halafu uje hapa uhadithie wenzako !
  10. KadaMpinzani

    Nataka kuoa kimwana toka JF

    Yaah, nataka kuoa binti mdogo dogo, lazima awe kigoli na sio ambae amechezewa ! kama amechezwa sawa (ngoma). Sasa kama wewe ni binti, then unafit katika hiyo category niliyotaja, jimwage hapa ! Niambie, tena mbele ya baraza, na kama utapatikana kabla ya Ijumaa, basi ijumaa usiku ya wiki...
  11. KadaMpinzani

    KadaMpinzani asema: Mnyika,Mbowe na Slaa tulieni kama maji ya kwenye mtungi !!

    Yap, i said it ! Mnyika siasa zake kama Mrema, (yupo kwenye siasa kama geresha) Slaa za kwake ni za kikabila kabila, ! Mbowe (huyu mchafu na uchafu wake hata sijui niuanzie wapi) Haya wee mwanawane, kaeni mkao wa kula..More info to come !
  12. KadaMpinzani

    Katiba za vyama Tanzania

    Mwaka 1995, CHADEMA iliungana na NCCR-MAGEUZI Mwaka 2000,CHADEMA iliungana CUF na mara zote hizi ilikuwa katika chaguzi kuu za taifa ! Kitu kimoja ambacho nina wasiwasi ni kwamba >: (1)Kama katiba zao ni "TOTALLY DIFFERENT" ilikuwaje waweze kuwa pamoja ? (2) Je kuna uwezekano kwamba katiba...
  13. KadaMpinzani

    Wito kwa John Mnyika na wenzake!!

    Mnyika, naomba upokee ushauri wangu huu na utimize ninachokuomba. Kijana kwa kweli kwa muda mrefu sasa umekuwa ukipush kuhusu baraza la vijana taifa, kitu ambacho kinanishawishi kwamba hiyo ni early symptom ya uroho wa madaraka at a young age. At any point, i have never seen any relevance to...
  14. KadaMpinzani

    CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

    HEHEEEE, CHADEMA KWAWAKA MOTO, KILA MTU ANA LAKE LA KUSEMA ! JISOMEEEE MWENYEWE !! Kamati Kuu Chadema kujadili uteuzi wa Zitto *Mbowe akatisha masomo kuhudhuria kikao *Mtei asema maslahi ya taifa hayana chama *Zitto asema hajitoi labda Rais amfukuze *Mnyika: Mkono wa CCM umepenyezwa...
  15. KadaMpinzani

    CHADEMA flip flopping at its best! Jisomee mwenyewe uone

    Naam zifuatazo ni baadhi ya wuote ambazo nimezitoa katika vyombo viwili tofauti (gazeti la majira na tanzania daima la mbowe) "Binafsi sioni umuhimu wa kuundwa kwa kamati hii, kwa ajili ya kuchunguza mikataba ya madini kutokana na sababu mbalimbali, lakini sababu kubwa hata historia inaonesha...
  16. KadaMpinzani

    Makamba: Msinihukumu kwa mabaya, I love you

    Makamba: Msinihukumu kwa mabaya, I love you 2007-11-06 08:33:34 Na Beatrice Bandawe, Dodoma Katibu Mkuu wa CCM, Bw. Yusuf Makamba, (pichani kulia) juzi alilazimika kuwaomba wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kura kwa kutomhukumu kwa mabaya yake na kuwaambia: `Ilove you`. Bw. Makamba...
  17. KadaMpinzani

    Murders of 2 Tanzanians in US not yet arrested !!

    Murderers of two Tanzanians in US not yet arrested 2007-11-03 10:47:07 By Pastory Nguvu, Dodoma The government said yesterday that no one has been arrested so far in connection with the deaths of two Tanzanians, Walter Mazula and Violet Nkya, who were murdered in the US last year...
  18. KadaMpinzani

    Jirani zetu katika picha !!

    fanya fujo ka huyo mmama hajakutundika vibao ! hata sijui joji alifurahi nini ! WMD au ? vita hatari sana ! tukuchukueni hatua kabla hatujafika huko ! wanasubiri ukatize, tu ! mlengeni invisible ! (joking) lazy as.ses halafu...
  19. KadaMpinzani

    Matukio Katika Picha

    OHH MY GOD ! HUYU NI ABUNUWASI ALIYEAHIDI PICHA BAADA YA KUNYESHEWA NA MVUA KALI JF !! KAKAKE WANAWAKE WA KIAFRIKA WAKISEREBUKA ! Stay tned bana, picha za kweli zinakuja ! na siziondoi baada ya sekunde (kama wenyewe) so kama utaziona leo utaziona, kamahuna muda utaziona maana...
  20. KadaMpinzani

    Kucinich amtolea uvivu Joji Bush

    PHILADELPHIA - Democratic presidential candidate Dennis Kucinich questioned President Bush's mental health in light of comments he made about a nuclear Iran precipitating World War III. "I seriously believe we have to start asking questions about his mental health," Kucinich, an Ohio...
Back
Top Bottom