KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
Mnyika, naomba upokee ushauri wangu huu na utimize ninachokuomba.
Kijana kwa kweli kwa muda mrefu sasa umekuwa ukipush kuhusu baraza la vijana taifa, kitu ambacho kinanishawishi kwamba hiyo ni early symptom ya uroho wa madaraka at a young age. At any point, i have never seen any relevance to your request as to why tuwe na baraza la vijana.
My opinion:
Kwa kuwa misaada inaelekea/ishaanza kusitishwa na wahisani, ningependa kukushauri kijana uwe makini na at least ujishughulishe na ukulima. Wewe kila siku umezoea kukaa vijiweni na kupiga soga, ebu imagine kwa siku ungelima heka ngapi za mpunga ? kama kulima huwezi, take a look at the second option, uvuvi. Kama kweli tutaweza kupunguza kijana mmoja katika "kila kijiwe" tanzania then i guarantee you maendeleo yatakuja tupende tusipende. Sasa kwa kuwa wewe umekuwa mstari wa mbele kuongelea masuala ya vijana, ningependa uwe mfano kwa vijana, (acha kukaa vijiweni, kucheza bao na kunywa kahawa na kashata) na uingie msituni. Inasikitisha sana kwamba kuna mashamba kibao tanzania, na kipindi cha msimu wa mazao, hayo mazao huoza.
YOU CAN DO IT MNYIKA.
BEBA JEMBE NA UELEKEE SHAMBA.
WENGINE TUTAFUATA.