KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,716
- 86
Mnajua kwa nini hakuna pool tables zanzibar ?? ukipata jibu, then angalia jina la rais wa pili wa znz, halafu waziri mkuu mstaafu (sio aliyejiuzulu) then niambie !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Huh?
Huh?
kote huko lakini amini usiamini ni kweupe peeee, na kuna sababu ! tz kote kuna pool table kasoro znz !
wanaogopa kuinama kupinda mgongo hawa jamaa!
Ila mimi pia nina jambo na huu mchezo,
binafsi yangu ni wa bara ila pool table inaniudhi kitendo cha balls ati zinaingia na stick inabaki nje.