Matukio Katika Picha

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Points
0

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 0


OHH MY GOD ! HUYU NI ABUNUWASI ALIYEAHIDI PICHA BAADA YA KUNYESHEWA NA MVUA KALI JF !!
KAKAKEWANAWAKE WA KIAFRIKA WAKISEREBUKA !

Stay tned bana, picha za kweli zinakuja ! na siziondoi baada ya sekunde (kama wenyewe) so kama utaziona leo utaziona, kamahuna muda utaziona maana zitakuwepo tu !!

Baadae kidogo !
 

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
2,940
Points
1,500

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
2,940 1,500
..huyo wa nyuma ananikumbusha.."supu ya kuku wa kienyejiii!,ni tamu sanaa eeh!"


Stay tned bana, picha za kweli zinakuja ! na siziondoi baada ya sekunde (kama wenyewe) so kama utaziona leo utaziona, kamahuna muda utaziona maana zitakuwepo tu !!
..picha za kweli kuhusu nini?kwani hizo ni za uongo?

Baadae kidogo !
..mswahili akikuambia baadae kidogo anaweza maanisha...baada ya masaa machache,kesho,kesho kutwa,wiki ijayo,mwezi unaokuja na hata mwaka ujao!

..hamna neno,si tutakuwapo na ukiziweka tutaziona na kuzijadili,kama kawaida ya hapa ilivyo!
 

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Points
0

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 0

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Points
0

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 0


KWA KWELI NAMFAGILIA SANA HUYU LAILA ALI, YAANI AMEJIWEKA KIAFRIKA AFRIKA SANA, SIO WANUGU WENGINE !
YEYE HUPENDELEA SANA KWENDA BONDENI SAUZI AFRIKA SANA KWA SANA TU YAANI !

AKISALIMIANA NA SHABIKI WAKE !NA BABAKE MOH'D ALI !ANAPENDA SANA KUSALIMIA WATU WA ROOTS ZAKEMAZOEZI !SI KITOTO !

 

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Messages
3,750
Points
0

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2007
3,750 0


KUNA SIKU MOH'D ALI ALIMWAMBIA BUSH YEYE CHIZI (KWA ISHARA)ENZI ZAKE AT HIS PRIME !

SHABIKI JICHO NYANYA !MNAKUMBUKA ????


hapo kama anasema"brazameni si nilikwambia watakuban, ukaniona mie chizi !!"
yaani kama ni hesabu, basi ni Don King= End of tyson's career !

 

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,815
Points
1,250

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,815 1,250


KUNA SIKU MOH'D ALI ALIMWAMBIA BUSH YEYE CHIZI (KWA ISHARA)ENZI ZAKE AT HIS PRIME !

SHABIKI JICHO NYANYA !MNAKUMBUKA ????


hapo kama anasema"brazameni si nilikwambia watakuban, ukaniona mie chizi !!"
yaani kama ni hesabu, basi ni Don King= End of tyson's career !

Mtaalam
 

Forum statistics

Threads 1,365,726
Members 521,318
Posts 33,353,602
Top