Jamiiforum's Friday Nite Live(JFNL)..Hapa ndio kwenyewe!!

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Aaaahh, saa nyingine mada zikizidi kwa kweli zinaboa hasa pale wachangiaji wenyewe wanapokosa cha kuchangia. Sio vibaya kama tuthave fun kidogo hadi jumapili jioni.


Naam hapo juu naona FOX-News imelenga kweli kweli !

kama mtapata muda wa kumuona huyu angalieni fox news asubuhi !


dana bash wa ccn ! unajua kwa nini anatengeneza nywele zake hivyo ?
- maskio yake madogo mno !
- anaongoza kwa kukodoa !


nani zaidi, condi
aukada picks MICHELLE OBAMA

sasa shughuli ipo hapaau


katie couric
kada picks KATIE COURIC


chelsea clinton
au
barbar bush

 

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
huyu admn. vipi leo ?? hii kitu angeacha ikae kwenye politics hadi jumapili jioni yeye anaileta huku ! shush...ahh !
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom