KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Mwaka 1995, CHADEMA iliungana na NCCR-MAGEUZI
Mwaka 2000,CHADEMA iliungana CUF
na mara zote hizi ilikuwa katika chaguzi kuu za taifa !
Kitu kimoja ambacho nina wasiwasi ni kwamba >:
(1)Kama katiba zao ni "TOTALLY DIFFERENT" ilikuwaje waweze kuwa pamoja ?
(2) Je kuna uwezekano kwamba katiba za vyama hivi vitatu zikawa sawa ?
(3) Na kama zipo sawa, kwa nini viwe vyama vitatu tofauti ?
(4)Kama kweli katiba zao zinafanana, should they be pressure to unite na kuokoa fedha za ruzuku na kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo mengine ?
<<<<<Maana sasa siasa imekuwa kama mtaji>>>>>
Halafu inakuwaje kuhusu hii back and forth ya Mbowe na CHADEMA mara waungane na wapinzani mara wakatae, yaani hadi kitaanani !
Ilianza 1995,then 2000, na ikaja 2005 na sasa 2010 wamekubali kusimamisha mgombea mmoja ebu soma hapa chini kidogo maana nadhani kila mtu ana akili kutambua chama makini hakiteteleki, na kikitetereka basi moja LAKINI SIO CHADEMA MAANA WAMETETEREKA ZAIDI YA MARA 5 KATIKA ISHU MOJA ! Hawajatulia hata kidogo !
Now Chadema drops single candidate idea
By Guardian Correspondent, IPP Media
Thu, May 19, 2005
CHADEMA is no longer interested in having a united opposition ahead of the October 30 general election, the opposition party's chairman, Freeman Mbowe, said yesterday.
Mbowe told the media in his office in Dar es Salaam that the idea of fielding a single candidate to take on CCM's contestant was no longer viable.
'The opposition is currently badly divided and some parties are embroiled in endless wrangles which make it difficult for us to continue advocating for a united front against CCM in the forthcoming elections, 'he said.
He said, however, that Chadema would pick a candidate who would give CCM's Jakaya Mrisho Kikwete a 'run for his money' in the poll and scoffed at suggestions that Kikwete was acceptable across the political spectrum.
He also said Chadema would not accept "frustrated" CCM stalwarts who were contemplating defecting to the opposition ahead of this year's elections.
"We'll slam the door in their faces because we believe that they are spent forces that cannot bring about positive change," Mbowe said.
Chadema had taken comprehensive measures to strengthen itself and did not need "outside" help in the run-up to the poll, the Chadema boss added.
He said the party was currently establishing itself in rural areas where the vast majority of Tanzanians lived, adding that the results of the drive would be seen during the elections.
Mbowe said earlier this year that the opposition must forge a united front against CCM if it hoped to defeat the ruling party in October.
The call was, however, immediately rejected by Tanzania Labour Party (TLP) Chairman Augustine Mrema who said uniting was not a guarantee for success in the elections.
Not surprisingly, Mbowe last week launched a scathing attack on Mrema, accusing him of undermining the opposition from within, ahead of the poll.
OK, ASANTE MBOWE KWA CHECHE ZILIZOJAA UKWELI KUHUSU WAPINZANI, TUMESIKIA MALALAMIKO ULIYOWAMWAGIA WAPINZANI, LAKINI KWA NINI (WHY) DID YOU DECIDE TO DO THIS ??SOMA CHINI !
ANGALIENI HIYO TAREHE NA MAANDISHI MEKUNDU KWA MAKINI HALAFU SOMA HAPA CHINI !
Wapinzani kuweka mgombea urais mmoja
Basil Msongo
HabariLeo;
Sunday,September 16, 2007
VYAMA vinne vya upinzani vimesema vitasimasisha mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. Vyama hivyo pia vimetoa madai mapya yasiyo na uthibitisho kuwa baadhi ya viongozi wakuu wa serikali walishiriki na wanashiriki kwenye vitendo vya rushwa na wizi wa fedha za umma.
Walikuwa wakizungumza kwenye mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwembeyanga, Temeke, Dar es Salaam jana. Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema aliwaambia mamia ya wakazi wa jiji kuwa wapo tayari kuvunja vyama hivyo ili kuwa na chama kimoja chenye nguvu lakini sheria inawabana.
Mrema alisema kuwa wamekubaliana kimsingi kuwa na mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu ujao ili apeperushe bendera ya upinzani kukikishinda Chama cha Mapinduzi (CCM). Vyama hivyo ni TLP, CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi. Viongozi hao wamelitaka Bunge kubadili sheria ya usajili wa vyama Oktoba mwaka huu ili vyama viweze kuungana bila kuathiri masuala mengine.
CONCLUSION:
CHADEMA sio chama chenye msimamo hata kidogo, nadhani wanatuchezea watanzania akili zetu !
KATIBA:
NCCR: - http://bit.ly/bP7sdv
CCM: http://bit.ly/958J8T