Search results

  1. T

    Kubadilishana decoder DStv kwa Azam

    Nina decoder ya dstv nataka kubadilishana na mwenye Azam. Location: Dar es Salaam
  2. T

    INAUZWA Nauza Mtungi wa gas kwa sh 20000 tu

    Nauza Mtungi wa mihani gas kwa sh 20000 tu. Eneo Kibamba Mbezi mwisho Dar es Salaam. 0659130177.
  3. T

    INAUZWA DStv Decoder na dish lake linauzwa

    Nauza decoder na dish la DStv kwa sh 60000 tu. Eneo Kibamba mbezi mwisho Dar es Salaam 0659130177.
  4. T

    INAUZWA Sofa (makochi) mawili yanauzwa

    Zimeondoka tayari
  5. T

    admob account inauzwa, ina verification zote

    nauza account ya admob ambayo inaverification tayari na ina usd 30.nicheki whatsapp 0744287850
  6. T

    Nauza account ya admob..ina dollar 30 tayarina barua ishafika

    nauza account ya admob ambayo inaverification tayari na ina usd 30.nicheki whatsapp 0744287850
  7. T

    Kozi ya animation na programming

    Habari za asubuhi wana JF. Nina somea computer science level ya degree, nahtaji kufahamu material,njia Na sehemu ambayo nitapractice hizi cozi vizuri kwa muda wangu wa ziada pia naomba guidance kutoka kwa expert, nahtaji kufahamu ipi inalipa zaidi katika upande wa technolojia hasa hapa nyumbani...
  8. T

    kozi ya animation na programming

    habari za asubuhi wana jf.. Nina somea computer science level ya degree,nahtaji kufahamu material,njia Na sehemu ambayo nitapractice hizi cozi vizuri kwa muda wangu wa ziada pia naomba guidance kutoka kwa expert,nahtaji kufahamu ipi inalipa zaidi katika upande wa technolojia hasa hapa nyumbani...
  9. T

    animation vs programming

    habari za asubuhi wana jf.. Nina somea computer science level ya degree,nahtaji kufahamu ipi inalipa zaidi katika upande wa technolojia hasa hapa nyumbani kati ya kazi za programming Na animation.Nina penda sana kufanya hizi kazi Na nahtaji kusoma ndani zaidi ndo maana nahtaji kufanya uchaguzi...
  10. T

    bachelor of science in education with computer scince ya st joseph

    karbuni tujuzane mengi kuhusu hii faculty.. nimechaguliwa kujiunga hapo... karbuni
  11. T

    Hizi negative (-) ZA TCU zina maana gani

    Habari zenu wakuu. nimefungua profile yangu ya tcu kwa sisi tunaoomba kujiunga na vyuo vikuu, nimekuta baadhi ya vyuo nilivyo chagua vimeandikwa -1 na vingine 0 sehemu ya remaining capacty. naomba ufafanuzi kwa wanaofahamu... tafadhalii wakuu
  12. T

    Msaada tafadhali update za KILMANJARO MUSIC AWARDS 2014.

    Habari za usiku wana jf ninaomba kwa wale wote mnaoangalia tuzo za ktma mtujuze kinachoendelea huko tafadhali na comments zenu ni muhimu sana Karibuni............
  13. T

    Msaada::kutibu Vidonda sehemu ya haja kubwa.

    Habari za asubuhi wana jf wenzangu,ninahitaji msaada jamani kwani nimepta vidonda vidogodogo sehemu ya haja kubwa vinanitesa sana hasa wakati wa kutembea na kwenda msalani. Msaada wenu jamani unahitajika haraka sana tafadhalii
  14. T

    Kufikiria/kufanya ngono huathiri vipi uwezo wa kufikiria(ubongo)?

    Habari wana jf wenzangu kumekuwa na uhusiano mkubwa sana wa mtu anaependa sana ngono kupoteza umakini kwenye mambo ya msingi wa maisha kama vile ufanisi kazini,kushuka kimasomo n.k. Ninaombaa kfahamishwa ni vipi na kiasi gani ngono huathiri ubongo wa mtu na pia hata njia za kuepukana na athari...
  15. T

    Msaada;Losheni ya me&u

    Habari za muda huu,naomba kuelimishwa kuhusu mafuta ya me&u kama yana madhara yoyote kama vile kubadilisha rangi ya ngozi,au kuharibu ngozi.binafsi sijawahi kuyatumia ila nimetumiwa na rafiki yangu kama zawadi,naombeni kuelimishwa ili kama yana madhara nisiyatumie.
  16. T

    Nipe pole mwenzio

    Yaani best nipe pole mwenzako hapa nilipo sina hali nimepata ajari mbaya yaani nimeanguka kwenye mkeka hadi chini.
  17. T

    PCB ushauri jamani.

    Hii wana jf,ni kijana wa kiume amemaliza form 4 mwaka jana na kapata division 2 ya pointi 20,anapenda kusoma PCB na ameifaulu vizuri kwa phy-c,chem-c na bio-b.SAsa anaomba ushauri jinsi ya kujianda kabla ya kuingia shuleni hiyo mwezi wa saba na usomaji wa pcb kwa ujumla hata atakapokuwa...
Back
Top Bottom