Wakenya wako divided baada ya Nairobi Baptist Church kutangaza vacancy ya Senior Pastor kupitia social media. Wengine wanasema ni transparency na modern leadership , lakini wengine wanauliza, “Kanisa sasa lina-hire pastor kama kampuni?”
Church inataka “visionary and Christ-centered leader”...
Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. nicheki WhatsApp/sms/call +255 0756704145
Fighters, wanajua kusaka fursa tu je Imani ya digital entrepreneur hasa kwa wale wanaotegemea content creation je still fursa imelala huku maana nahisi kumefifia mno.
Habarini,
Adsense haisupport swahili content hivyo nilikua nauliza hivi ni adnetwork gani nyingine inayolipa vizuri kwa traffic ya bongo, ukiachana na adsense, maana nimetest mengi mengi tu ila naona kama wananipiga tu, page views kibao hela haionekani.
Habari wakuu.
Nahitaji mtu mwenye blog yenye Adsense iwe kwenye wordpress ya kununua.
Nahitaji kwa Ajili ya kuendeshea blog.
Napatikana 0692 76 33 06
Shukrani
Qualifications:
1.Culinary Education: A formal culinary arts degree or diploma.
2.Cooking Skills: Proficiency in various cooking techniques.
3.Food Safety: Knowledge of regulations and safe handling practices.
4.Time Management: Ability to work efficiently during peak hours...
Naombeni ushuhuda kwa wafanyakazi wa ADSENSE waliotumia hizi platform mbili WORDPRESS & BLOGGER ipi ukitumia Ina support kupata mpunga mwingi kwenye kudisplay matangazo ya adsense tu.
Habari za wakati wote waungwana , natumai wote wazima.
Mambo vipi wakali wa hizi kazi za SEO.
Rejea title hapo juu nimekuwa nikitengeneza makala nyingi kwenye niche mbali mbali lakini imekuwa kipengele kurank #1 position pale google Yaani narank position ya 15 huko.
Wadau hivi ni niche zipi ambazo hazina competition kubwa kwamba hata sisi blogger...
Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli.
Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
KAZI ZENYEWE NI KAMA IFUATAVYO
1.CONSTRUCTION OPERATOR
2.BLASTER
3.LONG HOLE DRILLER
4.GRADER OPERATOR
5.SCOOP OPERATOR
NMEWAWEKEA NA PDF DOWNLOAD
KWA MAELEKEZO MAPANA ZAIDI
AJIRA KWA WOTE HUJUI NAN ATAKUSAIDIA AU KUSAIDIA JAMII YAKO
GOOD DAY
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.