kozi ya animation na programming

kozi ya animation na programming

Tabalo

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
294
Reaction score
84
habari za asubuhi wana jf..
Nina somea computer science level ya
degree,nahtaji kufahamu material,njia Na sehemu ambayo nitapractice hizi cozi vizuri kwa muda wangu wa ziada pia naomba guidance kutoka kwa expert,nahtaji kufahamu ipi inalipa zaidi
katika upande wa technolojia hasa hapa
nyumbani kati ya kazi za programming Na
animation.Nina penda sana kufanya hizi
kazi Na nahtaji kusoma ndani zaidi ndo
maana nahtaji kufanya uchaguzi ili niwe
vizuri saana.
maoni Na msaada wa wa ki ushauri ni
muhimu
karbuni
 
Back
Top Bottom