• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

ujasiliamali

 1. mshamba mchangamfu

  Watu wa content na masuala ya ujasiriamali

  Wakuu salama, Mimi si mtaalam sana ni maswala ya habari na vyombo vingi vya habari natambua ni huru inapokuja kwenye maswala ya nini kirushe au kiandike (kama tu hakivunji sheria) kipo huru ila inapokuja maswala ya ujasiliamali kuna kuwa na upotoshaji mkubwa sana hasa wale inspirational...
 2. M

  Ujasiriamali wa kubadilisha taka zinazozagaa mitaani kuwa fenicha, mapambo na bidhaa mbalimbali

  Jipatie double ottoman kama hizi katika staili mbalimbali kwa matumizi yako ya kukalia kama vile chumbani,saluni, dressing room na kwa wale wasanii wanaochora kucha za wakina dada kuna base nzuri za kuwekea miguu ya wateja wenu na viti vyake. Leta oda yako tukutengenezee design yoyote...
 3. JamiiForums

  Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

  Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeonelea ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
 4. The Certified

  Hili ni zaidi ya jambo la kutatua changamoto za ajira

  Wakati watu wakisafiri mamia ya maili ili kupeleka taarifa ya jambo fulani, Alexander Bell akabuni simu, Guglielmo Marconi akabuni mawimbi ya radio, na akina Charles Jenkins na wenzake wakabuni picha za kutembea, ambazo ndio TV za sasa. Yote hii ni katika kurahisisha upelekaji wa taarifa. Leo...
 5. T

  Nauza account ya admob..ina dollar 30 tayarina barua ishafika

  nauza account ya admob ambayo inaverification tayari na ina usd 30.nicheki whatsapp 0744287850
 6. ONTARIO

  Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

  Salute bosses Utangulizi Wengi mmesikia sikia sana kuhusu Forex trading, mmepata kujua taarifa kadhaa kuhusu hii biashara lakini mmeshindwa kufahamu nini kinaendelea. This is the perfect thread, tutaelewa kila kitu hapa na hakuna atakayebaki na swali kichwani - we have to leave this thing...
 7. neophyte

  safisha maji na upate ladha nzuri ya maji

  PureLife Tap Maji safi ni nini? BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na chembe ambazo ni ndogo mara 500 kuliko nywele. kinauzwa kwa bei ya punguzo ambayo ni 130,000/= piga...
 8. M

  Mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi anitafute

  Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
Top