animation vs programming

animation vs programming

Tabalo

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
294
Reaction score
84
habari za asubuhi wana jf..
Nina somea computer science level ya degree,nahtaji kufahamu ipi inalipa zaidi katika upande wa technolojia hasa hapa nyumbani kati ya kazi za programming Na animation.Nina penda sana kufanya hizi kazi Na nahtaji kusoma ndani zaidi ndo maana nahtaji kufanya uchaguzi ili niwe vizuri saana.
maoni Na msaada wa wa ki ushauri ni muhimu
karbuni
 
Back
Top Bottom