Kufikiria/kufanya ngono huathiri vipi uwezo wa kufikiria(ubongo)?


T

Tabalo

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Messages
235
Likes
6
Points
35
Age
33
T

Tabalo

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2013
235 6 35
Habari wana jf wenzangu
kumekuwa na uhusiano mkubwa sana wa mtu anaependa sana ngono kupoteza umakini kwenye mambo ya msingi wa maisha kama vile ufanisi kazini,kushuka kimasomo n.k.
Ninaombaa kfahamishwa ni vipi na kiasi gani ngono huathiri ubongo wa mtu na pia hata njia za kuepukana na athari hizo kama tayari ni muathirika wa hayo mataizo?
Elimu yako n mchango wako wa maoni ni muhimu sana.........
 

Forum statistics

Threads 1,251,615
Members 481,811
Posts 29,777,841