Search results

  1. Akili 09 Nguvu 01

    Naomba kufahamu vyakula vya Kunenepesha Mwili

    Chefs, Juzi kati hapa nilipigwa na Homa moja matata sana hadi kupelekea kulazwa Hospitali. Ashukuriwe Mwenyezi Mungu na Madaktari kwa sasa homa imeisha. Hii homa ilipelekea kupungua sana kwa Mwili wangu hadi nguo zangu hazinitoshi. Sasa ndugu Chefs naomba mnijuze vyakula ambayo naweza...
  2. Akili 09 Nguvu 01

    Tatizo la Ucheleweshwaji wa Mikopo Benki ya CRDB

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nimekua nikisikia kutoka kwa baadhi ya watu(wateja wa benki ya CRDB) kuwa wameomba Mikopo kutoka katika benki hiyo lakini kwa muda mrefu hawajapatiwa fedha/mkopo huo lakini wameshaanza kukatwa fedha kwa ajili ya mkopo huo Hivi karibuni...
  3. Akili 09 Nguvu 01

    Mwanamke wa kuwa Mchepuko rasmi anahitajika

    Mimi ni mwanaume wa umri wa ‘mid 30's’, nimeoa na naishi na mke wangu. Kutokana na changamoto za ndoa nimelazimika kutafuta Msaidizi wa mapenzi kwa mke wangu. Hivyo basi nahitaji Mwanamke wa kuwa Mchepuko wangu rasmi na wa kudumu. *Awe na miaka kuanzia 20 -40. *Awe na uwezo wa kujitegemea...
  4. Akili 09 Nguvu 01

    Mliofanikiwa Kupata Wenza, Mje mlete Mrejesho

    Wakuu huu Ugonjwa wa Corona ni siriaz afu ukiwaza Chain yake basi Walioathirika wanaweza kua wengi kuliko, tuzidi kuchukua tahadhali madhubuti Sasa nije kwenye Mada Hili jukwaa ni kwa ajili ya Kutafuta Wapenzi, marafiki, Wenzi, Madanga n.k Kuna nyuzi nyingi sana za Wanaume wakitafuta wanawake...
  5. Akili 09 Nguvu 01

    Naomba kufahamishwa kuhusu hiki kifaa ETC

    Wakuu huu Ugonjwa Chain yake ni ndefu sana na unaenea kwa kasi sana. Tuchukue tahadhari madhubuti. Sasa nije kwenye lengo kuu, Ni kuwa katika harakati za kuepuka kuwa Mwana wa Israel (kutembea kwa miguu Miaka 40) nami nimefanikiwa kumiliki Gari, hii ni Toyota (NUMMI) Voltz. Sasa nakuja kwenu...
  6. Akili 09 Nguvu 01

    Narudi tena kwenye Kilimo cha Nyanya. Mniombee

    Mnamo mwezi wa 12/2018 na Januari 2019 niliingia kwenye kilimo cha Nyanya. Nikiri kua nilikua sina maarifa wala uzoefu wowote kweny kilimo cha nyanya. Kuna rafiki yangu mmoja ndo alinishauri na kunishawishi kuingia kwenye kilimo cha nyanya(alinichukua na kunitembeza kweny mashamba ya nyanya na...
  7. Akili 09 Nguvu 01

    Inahitajika gari aina ya Toyota Voltz kuanzia namba DL

    Gari aina ya Toyota Voltz inahitajika hapa iwe na plate number ya angalau DL na kuendelea. Niuzie mimi kana unayo au kama unauza. Njoo na offer ya Bei yako then mimi nitajipima uwezo wangu. Fanya haraka kabla hela yenyewe haijaisha
  8. Akili 09 Nguvu 01

    Nataka Gari

    Nahitaji kununua gari bajeti yang ni kati ya shs Milion8 hadi milion 11 Napendelea gari mojawapo kati ya Ipsum au Wish Plate number ianzie DQ na kuendelea Au yeyote mwenyew Utaalamu wa kuagiza gari kutoka nje ya nchi akinisaidia kujua gharama zote adi usajili kwa gari tajwa hapo juu nitashukuru...
  9. Akili 09 Nguvu 01

    Nahitaji Camera nzuri

    Nmekua nikihitaji sana kua Mpiga picha. Kwa yeyote anayeuza camera (stil picture) nzuri kwa bei nzuri na poa. Hasa nikipata Nikon au Sony itapendeza Kwa mawasiliano zaidi basi njoo kwanza pm then mawasiliano mengine yatafuata Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  10. Akili 09 Nguvu 01

    Ninauza Machine ya Friji(Compresor & its accessories)

    Kwa mafundi wa Friji na yeyote mwnye Uhitaji, Ninauza Machine ya friji (compresor na vifaa vyake vyote) Bidhaa hii ipo kwenye hali nzuri kama Friji lako liliharibika machine yake basi jipatie hii ili friji lako liendelee kufanya kazi 0629040496. Napatikana kwa mawasiliano ya karibu zaidi
  11. Akili 09 Nguvu 01

    MSAADA;Namna ya kutengeneza mtindi fresh

    Habari zenu Chefs Nahitaji msaada wa Maelezo mazuri kabisaaa juu ya namna bora ya Kutengeneza Mtindi Fresh wenye mbwembwe na Madikodiko kibao yaan ue bora zaidi ya Mtindi wa Tanga Fresh au Youghut za Ikwiriri Ahsanteni
  12. Akili 09 Nguvu 01

    Nahitaji vifungashio vya nylon

    Habari zenu ndugu Wajasiriamali Nahitaji kufaham wapi naweza pata Vifungashio vya Nylon (mfano wake km ivi vifuko vya Chumvi au vifuko vya Sukari ile ya Kilo1) ili niweze kufanya Packaging ya bidhaa zinazozalisha shambani kwang Nahitaji kufanya Packaging rahisi tu katika Uzito wa Kilo 1, kilo 2...
  13. Akili 09 Nguvu 01

    Mkasa: Nilifunga safari kwenda kuonana na demu ambaye hatukuwahi kuonana kabla

    Nakumbuka hii ilikua ni mwaka 2008 kipindi hicho hata Watsap hamna kuna bint mmoja yeye alikua Moshi na mim nlikua Dar. Picha linaanza anakosea kupiga simu, ananipigia mimi tunaanzisha urafiki baadaye urafiki unanoga tunakua wapenzi wa kweny simu tu hata hatujawai kuonana. Kila mmoja anakua na...
  14. Akili 09 Nguvu 01

    SUMATRA pangeni bei ya nauli safari ya Songea-Masasi

    Route ya Masasi - Songea ina urefu wa takriban Km 450 Nauli ni Ths25,000/-. Nauli hii imedumu kwa muda mrefu sn tangu wkat barabar hii ni ya Vumbi toka Masas hadi Namtumbo takribsn Km390.Umbali wa route hii na nauli ni tofauti kabsaaa. Mfano(i) Masasi -Dar ni Km 600 Nauli Tshs23,000/-(ii) Dar...
  15. Akili 09 Nguvu 01

    Msaada wa dawa ya mafua kwa watoto wadogo

    Habari Wataalamu Nina mtoto wang mdogo sana ana umri unaokaribia Miezi 2. Amekua na tatizo la mafua sugu tangu akiwa na Wik3 adi leo bado yanamsumbua. Tumeenda hospital tumepewa dawa km Amoxylin na Codril lakini hakuna unafuu wotote. Mafua hayo yamepelekea hadi awe anakohoa. Homa hua inamtaiti...
  16. Akili 09 Nguvu 01

    Je, kuna uhusiano kati ya "earth wire" na bill kubwa ya umeme?

    Habari za Jumapili Waungwana Ivi kuna uhusiano wowote kati Earth wire na Matumiz ya umeme? Nyumba ninayoish earth wire imeharibika haifanyi kaz yake, matumiz yang ya umeme ni ya kawaida sana, sasa tatizo ni Bill kubwa ya umeme nnayoletea(bill hua inacheza kat ya 15,000 to 36,000/- kwa mwez)...
Back
Top Bottom