Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,398
Habari Wataalamu
Nina mtoto wang mdogo sana ana umri unaokaribia Miezi 2. Amekua na tatizo la mafua sugu tangu akiwa na Wik3 adi leo bado yanamsumbua.
Tumeenda hospital tumepewa dawa km Amoxylin na Codril lakini hakuna unafuu wotote. Mafua hayo yamepelekea hadi awe anakohoa. Homa hua inamtaiti zaid nyakati za usiku
Naombeni Msaada nitumie dawa gani kwa homa hiyo kwani mwanangu anateseka sana na mafua na kikohozi huyu ni mtoto mdogo sana.
Msaada tafadhali.