Mliofanikiwa Kupata Wenza, Mje mlete Mrejesho

Akili 09 Nguvu 01

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
693
1,365
Wakuu huu Ugonjwa wa Corona ni siriaz afu ukiwaza Chain yake basi Walioathirika wanaweza kua wengi kuliko, tuzidi kuchukua tahadhali madhubuti

Sasa nije kwenye Mada
Hili jukwaa ni kwa ajili ya Kutafuta Wapenzi, marafiki, Wenzi, Madanga n.k
Kuna nyuzi nyingi sana za Wanaume wakitafuta wanawake kwa ajili ya ndoa na mambo mengine ya kimapenzi pia kuna Wanawake wanaanzisha thread wakitafuta wanaume kwa ajili ya ndoa na Mambo mengine ya mapenzi

Sisi kina senior bachelor tunajitahidi kuomba nafasi ya Kazi kweny thread za Wanawake wanaotafuta wapenzi lakini Kazi hazipatikani

Sasa ninaomba kwa yeyote yule; Mwanamke aliyefanikiwa kupata Mume/ mpenzi au Mwanaume aliyefanikiwa kupata Mke/mpenz kupitia Jukwaa hili aje atupe mrejesho jinsi gani aliweza kuwachuja wote waliomfuata pm hatimaye akafanikiwa kupata hitaji la moyo wake

Mimi kila nikiomba kazi kwa mwanamke anayetafuta mume nimekua nakosa
 
Kabla ya kuchangia hii post umeangalia avatar yako!

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Avatar ya mleta mada haina shida yoyote na haina uhusiano na mada tajwa
Je umefanikiwa kupata mke/mume/mpenzi kupitia jukwaa hili? Uliwezaje kuwachuja hadi kupata hitaji la moyo wako?
 
Wakuu huu Ugonjwa wa Corona ni siriaz afu ukiwaza Chain yake basi Walioathirika wanaweza kua wengi kuliko, tuzidi kuchukua tahadhali madhubuti

Sasa nije kwenye Mada
Hili jukwaa ni kwa ajili ya Kutafuta Wapenzi, marafiki, Wenzi, Madanga n.k
Kuna nyuzi nyingi sana za Wanaume wakitafuta wanawake kwa ajili ya ndoa na mambo mengine ya kimapenzi pia kuna Wanawake wanaanzisha thread wakitafuta wanaume kwa ajili ya ndoa na Mambo mengine ya mapenzi
Sisi kina senior bachelor tunajitahidi kuomba nafasi ya Kazi kweny thread za Wanawake wanaotafuta wapenzi lakini Kazi hazipatikani
Sasa ninaomba kwa yeyote yule; Mwanamke aliyefanikiwa kupata Mume/ mpenzi au Mwanaume aliyefanikiwa kupata Mke/mpenz kupitia Jukwaa hili aje atupe mrejesho jinsi gani aliweza kuwachuja wote waliomfuata pm hatimaye akafanikiwa kupata hitaji la moyo wake
Mimi kila nikiomba kazi kwa mwanamke anayetafuta mume nimekua nakosa
Kwanza Hili jukwaa sio la kutafuta madanga,
 
Hakuna wakati mzuri kama wakati wa kuchuja watuma maombi PM. Unawapiga watu maswali mpaka unasikia raha.

Mkuu, wapenzi/wenza wanapatikana ila tu usiwe na papara maana uongo unakuwa mwingi kuliko uhalisia. Kuwakosa kwako yamkini unafata mtu ukiwa huna vigezo anavyovitaka yeye, mathalani huyo unayemfuata anataka watu wenye umri fulani ila wewe unamfuata tu hata kama huna umri huo. Inawezekana hapo ndipo unapokwama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yawezekana umewafanyia sana Interview kwa walioomba kaz kwako kwa maana umekiri kua ni wakati mzuri sn kuwafanyia watu interview
Baada ya kufuata iyo Mambo yote uliyoorodhesha, Je mwisho wa siku ulifanikiwa kupata hitaji la moyo wako?
 
Wakuu huu Ugonjwa wa Corona ni siriaz afu ukiwaza Chain yake basi Walioathirika wanaweza kua wengi kuliko, tuzidi kuchukua tahadhali madhubuti

Sasa nije kwenye Mada
Hili jukwaa ni kwa ajili ya Kutafuta Wapenzi, marafiki, Wenzi, Madanga n.k
Kuna nyuzi nyingi sana za Wanaume wakitafuta wanawake kwa ajili ya ndoa na mambo mengine ya kimapenzi pia kuna Wanawake wanaanzisha thread wakitafuta wanaume kwa ajili ya ndoa na Mambo mengine ya mapenzi

Sisi kina senior bachelor tunajitahidi kuomba nafasi ya Kazi kweny thread za Wanawake wanaotafuta wapenzi lakini Kazi hazipatikani

Sasa ninaomba kwa yeyote yule; Mwanamke aliyefanikiwa kupata Mume/ mpenzi au Mwanaume aliyefanikiwa kupata Mke/mpenz kupitia Jukwaa hili aje atupe mrejesho jinsi gani aliweza kuwachuja wote waliomfuata pm hatimaye akafanikiwa kupata hitaji la moyo wake

Mimi kila nikiomba kazi kwa mwanamke anayetafuta mume nimekua nakosa
Umeangalia avatar yangu lakini ?
 
Huyo mtu kwenye avatar ameoa humu
Safi sana mkuu na Hongera sana kwa kuweza kupata hitaji la moyo wako
Naomba utupe historia kidogo, je ni wew ndiye uliyeandika bandiko la kutafuta au ni yey ndo aliyebandika then wewe ujaomba Kazi.
Je process ya interview/screening/vetting ilikuaje hatimaye mkapatana?
Stori yako inaweza kusaidia wengine umu kupita the similar way, maana kule Love Connect threads ni nyingi sana mara mwanaume anatafuta mke na mwanamke anatafuta mume adi matangazo yanarudiwa. Tupe Uzoefu wako
 
Ahahahah endelea kuomba kazi mkuu. Ngoja waje watupe mrejesho. Yani ata mimi nashangaa sipati kabisa kazi umu. Mtoa mada njoo tuanzishe kampuni yetu ahahaha
Njoo pm dada hii nafac n yetu na ww wakat
huu

god is good
 
Back
Top Bottom